MwanaPekee
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 382
- 386
Bila kutaja upinzani nafsi yako haituliiMagufuli ni mwona mbali
Kipindi kile kabla Magufuli hajajenga barabara tulikuwa tunakaa wiki barabarani
Hata sasa wapinzani wanapinga ndege Baada ya miaka kumi watakuwa wanapongeza
ni mawazo ya kitotoMitoto isiyo na adabu hukakamaza shingo na kujitutumua mbele ya wazazi wao. Eti "ungechelewa mimi ningekuzaa"
Mtoa mada anatoka kundi hilo.
Zingekuwa barabara Imara sana na zingechukua muda mrefu kuharibika kuliko ilivyo sasa, Barabara nyingi zimechakaa na zinarekebishwa kila siku hii inatokana na aliyekuwa msimamizi hakufanya kazi yake ipasavyo.Jana tarehe 12/11/2019 katika uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa, Rais Magufuli alisema kati ya mambo ambayo atamkumbuka Mzee Mkapa ni lile alilokubali wazo lake la kuanziswa kwa Mfuko wa Barabara (Road Fund) licha ya sehemu kubwa ya Baraza la Mawaziri kukataa kwa madai kuwa hauna tija. Ikumbukwe kuwa kwa kipindi hicho TANROADS haikuwepo, na ilianzishwa baadaye, ili kuongeza ufanisi wa pendekezo hilo hilo la JPM ambapo sote ni mashahidi wa kazi kubwa inayofanywa na TANROADS. Leo kila Mtanzania anaufikia mkoa wake kwa Barabara ya Lami tofauti na ilivyokuwa miongo michache iliyopita.
Suala la kujiuliza hapa, kama Mawaziri wengi wa kipindi hicho hawakuona umuhimu wa pendekezo hilo, leo barabara zetu zingekuwaje? Pia ikumbukwe kuwa barabara nyingi sana, pamoja na madaraja vimejengwa katika kipindi ambacho JPM alikuwa Waziri wa Ujenzi, na ndicho kipindi ambacho juhudi zake za kuhakikisha kuwa mikoa mingi inaunganishwa kwa barabara ya lami zilipigwa vita na baadhi ya watendaji wa serikali kiasi cha kutaka kuondoa uhai wake.
Hili ni dalili tosha kuwa uzalendo wa JPM haujaanza leo, unathibitika katika kazi nyingi alizozifanya katika mazingira ya hatari kwa muda mrefu. Kupigwa kwake vita na mafisadi hakujaanza leo, kumeanza tangu akiwa Waziri. Hivyo yote yaliyotokea yamemkomaza na kumfanya awe ni mtu asiyeyumbishwa na wapinga maendeleo.
Tumuombee sana Rais wetu kipenzi, Our God-given President.
Tanzania bara ina mikoa 25,ni mikoa mitatu ambayo mpaka kikwete anaondoka madarakani ilikuwa haijainganishwa na barabara za lami,sasa una msifia magufuli kwa barabara ipi kwa mfano?Jana tarehe 12/11/2019 katika uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa, Rais Magufuli alisema kati ya mambo ambayo atamkumbuka Mzee Mkapa ni lile alilokubali wazo lake la kuanziswa kwa Mfuko wa Barabara (Road Fund) licha ya sehemu kubwa ya Baraza la Mawaziri kukataa kwa madai kuwa hauna tija. Ikumbukwe kuwa kwa kipindi hicho TANROADS haikuwepo, na ilianzishwa baadaye, ili kuongeza ufanisi wa pendekezo hilo hilo la JPM ambapo sote ni mashahidi wa kazi kubwa inayofanywa na TANROADS. Leo kila Mtanzania anaufikia mkoa wake kwa Barabara ya Lami tofauti na ilivyokuwa miongo michache iliyopita.
Suala la kujiuliza hapa, kama Mawaziri wengi wa kipindi hicho hawakuona umuhimu wa pendekezo hilo, leo barabara zetu zingekuwaje? Pia ikumbukwe kuwa barabara nyingi sana, pamoja na madaraja vimejengwa katika kipindi ambacho JPM alikuwa Waziri wa Ujenzi, na ndicho kipindi ambacho juhudi zake za kuhakikisha kuwa mikoa mingi inaunganishwa kwa barabara ya lami zilipigwa vita na baadhi ya watendaji wa serikali kiasi cha kutaka kuondoa uhai wake.
Hili ni dalili tosha kuwa uzalendo wa JPM haujaanza leo, unathibitika katika kazi nyingi alizozifanya katika mazingira ya hatari kwa muda mrefu. Kupigwa kwake vita na mafisadi hakujaanza leo, kumeanza tangu akiwa Waziri. Hivyo yote yaliyotokea yamemkomaza na kumfanya awe ni mtu asiyeyumbishwa na wapinga maendeleo.
Tumuombee sana Rais wetu kipenzi, Our God-given President.
Tanzania bara ina mikoa 25,ni mikoa mitatu ambayo mpaka kikwete anaondoka madarakani ilikuwa haijainganishwa na barabara za lami,sasa una msifia magufuli kwa barabara ipi kwa mfano?
TANROADs ilianzishwa na mtu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi barabara na mikataba na serikali ya uingereza, mkapa akamchomoa huko uingereza na kumrudisha Tz,mtanzania huyo amesharudi zake uingereza baada ya masikini wa Tanzania kulalamika kwamba analipwa pesa nyingi.Tanroads haijawahi kuwa wazo la magufuli,akili hiyo hanaJana tarehe 12/11/2019 katika uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa, Rais Magufuli alisema kati ya mambo ambayo atamkumbuka Mzee Mkapa ni lile alilokubali wazo lake la kuanziswa kwa Mfuko wa Barabara (Road Fund) licha ya sehemu kubwa ya Baraza la Mawaziri kukataa kwa madai kuwa hauna tija. Ikumbukwe kuwa kwa kipindi hicho TANROADS haikuwepo, na ilianzishwa baadaye, ili kuongeza ufanisi wa pendekezo hilo hilo la JPM ambapo sote ni mashahidi wa kazi kubwa inayofanywa na TANROADS. Leo kila Mtanzania anaufikia mkoa wake kwa Barabara ya Lami tofauti na ilivyokuwa miongo michache iliyopita.
Suala la kujiuliza hapa, kama Mawaziri wengi wa kipindi hicho hawakuona umuhimu wa pendekezo hilo, leo barabara zetu zingekuwaje? Pia ikumbukwe kuwa barabara nyingi sana, pamoja na madaraja vimejengwa katika kipindi ambacho JPM alikuwa Waziri wa Ujenzi, na ndicho kipindi ambacho juhudi zake za kuhakikisha kuwa mikoa mingi inaunganishwa kwa barabara ya lami zilipigwa vita na baadhi ya watendaji wa serikali kiasi cha kutaka kuondoa uhai wake.
Hili ni dalili tosha kuwa uzalendo wa JPM haujaanza leo, unathibitika katika kazi nyingi alizozifanya katika mazingira ya hatari kwa muda mrefu. Kupigwa kwake vita na mafisadi hakujaanza leo, kumeanza tangu akiwa Waziri. Hivyo yote yaliyotokea yamemkomaza na kumfanya awe ni mtu asiyeyumbishwa na wapinga maendeleo.
Tumuombee sana Rais wetu kipenzi, Our God-given President.
HahahahahaKama hujaelewa kilichoandikwa kaa kimya tu, si lazima uchangie ndo tujue kuwa upo
TANROADs ilianzishwa na mtu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi barabara na mikataba na serikali ya uingereza, mkapa akamchomoa huko uingereza na kumrudisha Tz,mtanzania huyo amesharudi zake uingereza baada ya masikini wa Tanzania kulalamika kwamba analipwa pesa nyingi.Tanroads haijawahi kuwa wazo la magufuli,akili hiyo hana
Acha upotoshaji barabara zimejengwa kutumia budget ya serikali iliyopitishwa na bunge kwa kutia kodi zetu. Acheni kumpamba huyo mungu wenu kwa sifa za kijingaJana tarehe 12/11/2019 katika uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa, Rais Magufuli alisema kati ya mambo ambayo atamkumbuka Mzee Mkapa ni lile alilokubali wazo lake la kuanziswa kwa Mfuko wa Barabara (Road Fund) licha ya sehemu kubwa ya Baraza la Mawaziri kukataa kwa madai kuwa hauna tija. Ikumbukwe kuwa kwa kipindi hicho TANROADS haikuwepo, na ilianzishwa baadaye, ili kuongeza ufanisi wa pendekezo hilo hilo la JPM ambapo sote ni mashahidi wa kazi kubwa inayofanywa na TANROADS. Leo kila Mtanzania anaufikia mkoa wake kwa Barabara ya Lami tofauti na ilivyokuwa miongo michache iliyopita.
Suala la kujiuliza hapa, kama Mawaziri wengi wa kipindi hicho hawakuona umuhimu wa pendekezo hilo, leo barabara zetu zingekuwaje? Pia ikumbukwe kuwa barabara nyingi sana, pamoja na madaraja vimejengwa katika kipindi ambacho JPM alikuwa Waziri wa Ujenzi, na ndicho kipindi ambacho juhudi zake za kuhakikisha kuwa mikoa mingi inaunganishwa kwa barabara ya lami zilipigwa vita na baadhi ya watendaji wa serikali kiasi cha kutaka kuondoa uhai wake.
Hili ni dalili tosha kuwa uzalendo wa JPM haujaanza leo, unathibitika katika kazi nyingi alizozifanya katika mazingira ya hatari kwa muda mrefu. Kupigwa kwake vita na mafisadi hakujaanza leo, kumeanza tangu akiwa Waziri. Hivyo yote yaliyotokea yamemkomaza na kumfanya awe ni mtu asiyeyumbishwa na wapinga maendeleo.
Tumuombee sana Rais wetu kipenzi, Our God-given President.
Bara bara zilizo nyingi naona mabango yameandikwa KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.Jana tarehe 12/11/2019 katika uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa, Rais Magufuli alisema kati ya mambo ambayo atamkumbuka Mzee Mkapa ni lile alilokubali wazo lake la kuanziswa kwa Mfuko wa Barabara (Road Fund) licha ya sehemu kubwa ya Baraza la Mawaziri kukataa kwa madai kuwa hauna tija. Ikumbukwe kuwa kwa kipindi hicho TANROADS haikuwepo, na ilianzishwa baadaye, ili kuongeza ufanisi wa pendekezo hilo hilo la JPM ambapo sote ni mashahidi wa kazi kubwa inayofanywa na TANROADS. Leo kila Mtanzania anaufikia mkoa wake kwa Barabara ya Lami tofauti na ilivyokuwa miongo michache iliyopita.