Asingekuwa Rais Magufuli barabara zetu zingekuwaje kwa sasa?

Asingekuwa Rais Magufuli barabara zetu zingekuwaje kwa sasa?

Acha upotoshaji barabara zimejengwa kutumia budget ya serikali iliyopitishwa na bunge kwa kutia kodi zetu. Acheni kumpamba huyo mungu wenu kwa sifa za kijinga

Kwani miaka mingine kodi mlikuwa hamlipi? Kama hujui kuwa haya mambo huwa yanatawaliwa sana na Political will ya aliyepo madarakani basi una shida sana ya uelewa. Kama ndo hivyo basi pole sana
 
Kama unapenda sana muombe uwe mke wa nne
 
Niliambiwa pesa za EPA zitasaidia kampeni za CCM.

Nahisi kutumika na kusalitiwa. By Benjamin Mkapa.
ni ukweli dhahili mafungu mkubwa ya fedha za ufisadi nchi hii hutumiwa na ccm wakati wa uchaguzi. Hata mkapa aliidhinisha malipo ya epa alipoaminishwa zitatumika katika kampeni za ccm, wajanja wakamzidi akili
 
Wala haoni mbali maana mipango yote ulikuwepo, Mipango inayoendelea sasa hivi ilipangwa na watangulizi wake.

Kweli wakupewa sifa ni Mkapa na Kikwete kwa kuweka mikakati iliyozaa mipango na kisha kupata fedha za ujenzi wa barabara.

Halafu waziri wa ujenzi (mnyapara) na genge lake la wahandisi, technicians wakaagizwa kusimamia wakandarasi ili kuhakikisha kazi inakamilika. Hivyo Mkapa na Kikwete ndiyo wamesababisha mabarabara haya kuwepo.
 
TANROADs ilianzishwa na mtu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi barabara na mikataba na serikali ya uingereza, mkapa akamchomoa huko uingereza na kumrudisha Tz,mtanzania huyo amesharudi zake uingereza baada ya masikini wa Tanzania kulalamika kwamba analipwa pesa nyingi.Tanroads haijawahi kuwa wazo la magufuli,akili hiyo hana

Akili tope
 
Back
Top Bottom