MwanaPekee
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 382
- 386
- Thread starter
-
- #21
Acha upotoshaji barabara zimejengwa kutumia budget ya serikali iliyopitishwa na bunge kwa kutia kodi zetu. Acheni kumpamba huyo mungu wenu kwa sifa za kijinga
Kwani miaka mingine kodi mlikuwa hamlipi? Kama hujui kuwa haya mambo huwa yanatawaliwa sana na Political will ya aliyepo madarakani basi una shida sana ya uelewa. Kama ndo hivyo basi pole sana
Kama unapenda sana muombe uwe mke wa nneKwani miaka mingine kodi mlikuwa hamlipi? Kama hujui kuwa haya mambo huwa yanatawaliwa sana na Political will ya aliyepo madarakani basi una shida sana ya uelewa. Kama ndo hivyo basi pole sana
ni ukweli dhahili mafungu mkubwa ya fedha za ufisadi nchi hii hutumiwa na ccm wakati wa uchaguzi. Hata mkapa aliidhinisha malipo ya epa alipoaminishwa zitatumika katika kampeni za ccm, wajanja wakamzidi akiliNiliambiwa pesa za EPA zitasaidia kampeni za CCM.
Nahisi kutumika na kusalitiwa. By Benjamin Mkapa.
Wala haoni mbali maana mipango yote ulikuwepo, Mipango inayoendelea sasa hivi ilipangwa na watangulizi wake.
TANROADs ilianzishwa na mtu mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi barabara na mikataba na serikali ya uingereza, mkapa akamchomoa huko uingereza na kumrudisha Tz,mtanzania huyo amesharudi zake uingereza baada ya masikini wa Tanzania kulalamika kwamba analipwa pesa nyingi.Tanroads haijawahi kuwa wazo la magufuli,akili hiyo hana