NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
😅😅😅😅Wakale walipo peleka mboga zao
Raisi amesema wakija na mitaji wakumbatiwe bila kujali majina yao.😅😅😅😅
Tatizo sheria bado inawabana! Wapiganie sheria ibadilishwe angalau itamke kwamba raia wa nchi nyingine mwenye asili ya Tanzania anaruhusiwa kumiliki ardhiRaisi amesema wakija na mitaji wakumbatiwe bila kujali majina yao.
Hapo ndio unaona maigizo ya viongozi wetu wanatoa matamko yanayo pingana na sheriaTatizo sheria bado inawabana! Wapiganie sheria ibadilishwe angalau itamke kwamba raia wa nchi nyingine mwenye asili ya Tanzania anaruhusiwa kumiliki ardhi
Nasheria zipo katika kulinda maslahi mapana ya nchi. Kama kuna haja ya kufanya amendments au ku overall sheria ifanyike ili mwisho wa siku nchi ipate ilichokusudia maana akina Ramadhani wako wengi.Hapo ndio unaona maigizo ya viongozi wetu wanatoa matamko yanayo pingana na sheria
Hawaombi, wanailipia.Wakija si wanaomba visa?
Hawaruhusiwi. Sababu ni kuwa sio raia wa Tz. Watachukuliwa kama wawekezaji wengine kutoka nje, Ila hawatamiliki ardhi.Naomba adm msiiweke kule kwenye jukwaa la sheria kwanza ila kila mtu atoe mawazo yake kwanza.
Kuna babu mmoja watoto wake wa kiume wote aliojaliwa wako Marekani zaidi ya miaka20 sasa. Walizaliwa Tanzania lakini wakahamia Marekani japo mara kwa mara wanakuja kumuona babu yao.
Kwa kuzaliwa wamezaliwa Tanzania lakini wakachukua uraia wa Marekani kutokana na sheria yetu hatuna kitu uraia pacha.
Swali linakuja je hawa watoto wake kisheria wanaruhusiwa kuja kumiliki mali za babu nyumba na viwanja na mashamba yakea aliyo nayo huku Tanzania?
Ila kila mwaka kwa kweli wanakuja kumuona baba yao na wanamtunza maana wanamtumiaga matumizi wakiwa huko nje.
Naomba msaada wa mawazo tafadhali
Nyumbani ni nyumbanikama nipo marekani ya nini nijisumbue kuja tanzania kumiliki ardhi hata kumiliki mbuzi sitaki nikiisha pata nafasi hiyo nikumshukuru mungu