Pre GE2025 Asiyekubalika kwao anawezaje kushawishi Wananchi Wamchague Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila wewe ni mwanajukwaa wa chadema!
Sijui kama mnaelewa kuhusu JF , kinachotakiwa kwenye jukwaa hili ni habari zinazohusiana na siasa tu , hawakutaja vyama .
 
MKuu unajua Nyie sijui Huwa mna macho ya kuona mambo vizuri!

Jpm aliimbwa kuliko hata huyu mama!Tena "Bungee la miaka Saba"likatamkwa Kwa mihemko!!!

Ukiona kiongozi anapigiwa kampeni kabla ya muda kufika ujue wanaompigia kampeni hawamtaki kabisa!!

Uliuona ujinga kama huo enzi za mkapa na kikwete!!?SI walitulia tu wakafanya kazi zao!!!

Nitakua was mwisho kuamini eti samiah anapigiwa kampeni za urais mapema hivi Ili apite Kwa kishindo!!

Anapigiwa I'll aanguke Kwa kishindo!!
 
Duuuuh !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…