Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

Juzi tu Mbowe alisema tusubir hadi mwezi wa 12, kumbe hata mwezi haujaisha kitu kimeshaanza kuleta impacts, wacha tuendelee kuisoma namba coz wanafurahia kodi zetu na Wao kuish vizur, ovyoo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watz somo la logic lilishaurugwa . kilichobaki hata uwape elimu kiasi gani lazima iwe shida.Ktk kitu watz wasichoweza ni kujadili. Hivi Lipumba si alikuwa akisifiwa kwa uchumi, sasa mbona msaada pekee anaowapa ccm ni kubomoa cuf?Au dau la kumlipa kukoa uchumi ni kubwa kuliko uchumi wake?Au uchumi wake unamuongoza kuiua cuf ili uchumiwa ccm ukue.
 
Magufuli adororesha uchumi Wa Tanzania toka ukuaji Wa 7.2 mpaka 5.7 limeripoti gazeti la Bussiness Times. Waonajipa matumaini kuwa uchumi unakuwa kaeni mguu sawa mambo si shwari.
 

Attachments

  • IMG-20170812-WA0065.jpg
    84.2 KB · Views: 40
Ni vyema viongozi wetu wakawa 'Pro business' maana Dunia ya leo kila kitu msingi wake ni biashara. Ajira ni biashara, kodi ni biashara, maendeleo ni biashara. Bila biashara kufanya vizuri kila kitu kitakuwa zii!
 
Acha uporomoke. Si wao ndio waliounyanyua?

Hata kule Europe an USA ukifuatilia Bloomberg Channel hizo mambo ya Quarter, hua uchumi unaporomoka then unarudi nansometimes unakua vilevile That's normal
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wavuta bangi wa lumumba waje kubadilisha ukweli au kukutukana mleta mada.
 
Sisi wengine maisha yetu hayana influence na neno kitu uchumi.

Nikigeuka shambani nachuma ndizi, nikitazama mti kuna Parachichi limeiva, nikiingia shambani kuna viazi na Magimbi.
Nikienda sokoni kuna nguo za mtumba ZA 500 HADI 3000/=.
Nikitazama shuleni watoto wanasomeshwa na JAMHURI, Silipi Ada.

Nikirudi Radioni serikali inatujengea Uwanja WA ndege WA kimtaifa Chato.

Nimekwenda kijiweni nikasikia hii serikali inaleta Viwanda.

Huo uchumi nausikia humu kwenye fesibuku.


Wakati hata Bloomberg ukimfuatilia. Mambo ya uchumi kuporomoka kwa quarter ni ya kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero brain wewe. Kwahyo hata magazeti ya jana yalidanganya eeh.

Alafu iyo post ya 2016 umeona wapi ni sawa na hii ya sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon tutawekwa chini ya IMF conditionality tuanze kupangiwa namna ya kumanage uchumi wetu kwa kukosa ubunifu.

Kilichobaki ni kukubali tu serikari aiwezi sustain malipo ya sh billioni 700 kila mwezi za madeni wapo kama headless chicken kuitafuta hiyo hela huku wakitesa walipa kodi na kutoa huduma za jamii mbovu.

Its a matter of time watch this space
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…