Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

Kwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.
Tuonyesheni indicators za kukua kwa uchumi. Cheap takwimu Kama hizi mixed with primitive dictator's politics hazina mpango kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyesheni indicators za kukua kwa uchumi. Cheap takwimu Kama hizi mixed with primitive dictator's politics hazina mpango kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uchumi kukuwa kwa 5.7% katika 1st quarter ambayo ndiyo kwanza tupo nusu yake. Kumbuka leo mwezi wa ngapi. Unaliona dogo hilo? Au tunataka indicators za scania ziwekwe ndiyo uelewe zimewekwa indicators?

Subirini first quarter iishe. Msiandikie mate na wino upo.
 
economic growth haiwezi kuwa constant, hasa hasa ktk kipindi cha kulima, na kupanda nk, sasa hivi kipaumbele ni kuwekeza kwenye miradi ya kimaendeleo ambayo yatachoche, ukuaji wa elimu, afya, uzalishaji na usambazaji wa huduma na mazao
This is what I call cheap politics

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao mnaowaita wapiga dili ndo hao waliokuwa na vijihela vyao wanatuajiri sisi wanyonge, sasa we kenua mimeno tu "Wapiga dili wamebanwa" kati huna hata sent, na mama yako alikuwa na kibarua huko kwa mpiga dili tayari kimeshaota nyasi , subiria vibom tu kutoka kwa nduguzo , na senti huna , ndo utajua kwanini lifti inapandwa lakin haiwekewi mbolea

Sent using Jamii Forums mobile app

Try to be artistic and scientific. Hizo rangi ya wino ulotumia ni mbayaa na inumiza macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mwanzo tu mbona, tutaisoma namba kweli kweli
 
Uongozi wa JF,

Habari hizi labda za mwaka jana au juzi, kuziweka na kuzifanya za sasa ni upotoshaji mkubwa sana.

Huyu mleta mada inafaa apigwe ban kwa huu upuuzi wa kupotosha watu.

Hii ni kuishushia Hadji JF.

Cc
 
Magufuli hapo nyuma kila sehemu alipokuwa akihutubia alisimama kwa mbwembwe na kutamba kuwa uchumi umekuwa huku akitumia izo data za IMF. Leo umnaziita et ni data za mabebari.

Siku ukiona unabeba ndoo ya pesa ya tz kwenda kununua toilet paper ndipo akili itakukaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wacha kudanganya watu, hizi siyo habari. Ni historia. Sasa leta takwimu za mwaka uliotoa hizi habari tuone mwaka uliishaje.

Usifikiri wote ni majuha humu.
 
Kwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.
Then tujitengenezee wenyewe mfumo wa kujipima kiuchumi...!!! Labda tutumie maoni ya wa Tanzania, wao wanasemaje? Uchumi wao unapanda?
JPM na JKN ni waumini wa haki na kazi, lkn hawana /hawakuwa na mipango ya kiuchumi... So far Ngosha hajui ili uchumi ukue tufanye jambo gani?
Kuamini kwenye kufanya kazi pekee kuwa ndio uchumi upande ni wrong impressions.. unajua Bakhresa, Mengi, Mo etc yawezekana kiwango chao cha kusulubika hakifikii Wengi wetu, Yaani sisi tumekuwa "punda zaidi" Lakini wao strategies wanazotumia ndio Bora zaidi kwenye kukuza vipato vyao....
Nchi inapaswa kusaidia wananchi wake kuona fursa, kupata masoko na kuwa na mahusiano mazuri na watu wengine ili movement zilete tija . Yeye alipaswa azuie wizi sio azuie hata watu kufanikiwa...
Na hilo dongo kwa serikali ya Zimbabwe sio zuri, mtu kuwa influential haimaanishi kuwa anaongoza Nchi, hata sisi tuna Bashiiiite pia Ana influence pia maamuzi tunaweza kusema naye anaongoza? Si vema kuleta ushabiki
 
Na wewe umeona yaliyoandikwa ni ukweli?

Joinee hizi habari za lini: UPDATE 1-Tanzania first quarter growth slows, hurt by manufacturing, construction

Huyo mleta mada kwa kutafuta kuhadaa watu kazifanya hizi habari ni mpya, na wewe unashangalia tu.

Hakika wajinga ndiyo waliwao.
Bi mkubwa,
Mtoa mada yupo sahihi kwa nia lakini amekosea kwa jinsi alivyoileta hii habari. Most likely ni kwa sababu ya kuingiza propaganda kwenye mambo ambayo hayafahamu.

Habari aliyoitumia kusema kuwa tulipewa onyo ni habari ya mwaka jana, na ni habari ya ukweli kutoka Reuters. Ila hilo onyo kutoka IMF halikuzuia Tanzania kufikia GDP increase (annual) ya 7% ingawa hiyo habari ilituonya kuwa tunaweza tusifikie hiyo 7% na walikuwapo kina Zitto, na vinyamkela wake humu wakisema hatutafika lengo hilo.

Fast forward one year later, hawa jamaa bado hawaoni aibu na wanatumia Provisional first quarter GDP na kufananisha na revised first quarter GDP ya Last year. Provisional first quarter GDP growth ya 2016 ilikuwa 5.6% na walipiga kelele sana mwaka jana humu wakisema tutakuwa Zimbabwe, leo hatuwaoni hao.

Jambo linguine ambalo hawa jamaa hukwepa, ni regional GDP growth performance. Rwanda, Kenya, Uganda zote zimeshuka (Rwanda significantly) lakini huwezi kuwasikia wakisema hizo nchi zitakuwa Zimbabwe.

All in all, naomba mungu atunusuru sana na upande unaoshabikiwa na hawa jamaa, maoni yao na propaganda zao zinawafanya wajione waelewa sana wakati kiukweli ni mahok bin mahok.

Lakini ukweli ni kwamba hiyo habari ya gdp growth kushuka ni ya ukweli.
 
Habari ni ya kweli na ni ya mwaka jana. Hakuna aliyekataa hilo na link nimeweka juu huko.

Tatizo ni upotoshaji uliofanywa na mleta mada, kuileta habari kama mpya na kutoweka link ya chanzo chake ili watu wasielewe kuwa anapotosha.

Kama hiyo haitoshi, hiyo asilimia 2 kaitowa wapi? Fikiri.
 
ALipokuwa waziri tulikuwa tukimuamini alipokuwa anataja manamba toka kichwani kumbe alikuwa anapiga na free style humo humo. Namba Ikimjia yoyote anatupia. watu weuwee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]
 
Kwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.

Hata Zimbabwe Haikuwa Vile Ilianza Hivi, Mugabe Kaachia Nchi Lini Au UnaMtukana?
 
Back
Top Bottom