Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Ule wimbo unaimbwaje?? Tumeipenda wenyewe tet te tehe
Kwa hiyo leo mmeanza kuamini figure zitolewazo na IMF kweli nyie ni BAVICHANgoja waje!wabishi wa lumumba bora liende country ......
Ova
Ku kuwa kwa uchumi,kuko kwa aina mbili
Moja ni kukuwa kutokana na wawekezaji kuwekeza,hii itaionyesha uchumi kitaifa.
Pili ni kukua kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja,hapa ndio tatizo.
Sasa tueleweshe,unamaanisha kukua kupi?
ALipokuwa waziri tulikuwa tukimuamini alipokuwa anataja manamba toka kichwani kumbe alikuwa anapiga na free style humo humo. Namba Ikimjia yoyote anatupia. watu weuwee.Sitoshangaa kesho Rais akisimama na kusema uchumi unakua kwa 7% kwasababu wamezoea kutudanganya.
economic growth haiwezi kuwa constant, hasa hasa ktk kipindi cha kulima, na kupanda nk, sasa hivi kipaumbele ni kuwekeza kwenye miradi ya kimaendeleo ambayo yatachoche, ukuaji wa elimu, afya, uzalishaji na usambazaji wa huduma na mazaoAcha upuuzi. Tulikuwa 7.1 last Q. Sasa tumeshuka mpaka 5.1. Retardation ni 2%. Usituzuge ase.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upuuzi. Tulikuwa 7.1 last Q. Sasa tumeshuka mpaka 5.1. Retardation ni 2%. Usituzuge ase.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi unakua kwa kasi ya ajabu!! Eleweni hivyo tu! No statistics required! No refference data's entertained! No factual translations to cuddle! No Nothing!!!uchumi wetu unapaa!! Kama ukibisha tutakupima mkojo kudhihirisha hilo!! Hakuna msema kweli kama mkojo!
Wala hakuna cha ajabu hapo, ukiondoa hela chafu kwenye uchumi, lazima numba zitapungua. Hizi ndio namba halisi za uchumi wetu,anf this is just Q1. Who knows huko mbele kuna nini. Na uchumi ni kama bianadamu, Leo mafua, kesho kikoozi, keshokutwa mzima unadunda.