Hatareee sana mkuu.The people Republic of Chato.ALipokuwa waziri tulikuwa tukimuamini alipokuwa anataja manamba toka kichwani kumbe alikuwa anapiga na free style humo humo. Namba Ikimjia yoyote anatupia. watu weuwee.
hao waliotoa taarifa ni National Bureau of statics ya kwetu wala si IMF or WBKwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.
Unasimama naye wapi wewe, where there is smoke,there is fire.Nasimama na Rais wangu.
Acha upuuzi. Tulikuwa 7.1 last Q. Sasa tumeshuka mpaka 5.1. Retardation ni 2%. Usituzuge ase.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kaka, akizondoa hela chafu inabidi zirudi kwenye mzunguko through Governement spending. Kuna makampuni mengi kweli yaanadai serikali na taasisi za serekali. Nafahamu mbazo zimerudisha wafanyakazi nyumbani kwa kukosa hela ya kuwalipa wakati wanadai billions.Hizi ni kampuni halali zimefanya kazi halali. Bombardier zilinunuliwa regardless wakati uchumi wa nchi ni kweny SMEs hizi
Kufanya nn???!!!
JPM 2015-2025 na akimaliza tunabadili katiba na kumbembeleza aendelee coz he is the best President ever tangu Tanganyika iumbwe,huu ndio ukweli ikikuuma hama nchi kwa sababu bado yupo sana otherwise stress zitakuuwa upotee kwenye uso wa dunia.GADEMMMMMUUnasimama naye wapi wewe zuzu,where there is smoke,there is fire.
Utasimama na Rais wapi wewe, unataka kuwa Bashite? usikute hata chai hujanywa lakini kiherere mtupu.
Endeleeni na propaganda uchwara zenu,kila mnalolianzisha baya linafeli na bado mtaendelea kukosa hoja hivohivo by 2020 mnakufa kifo cha mende kwa sababu ya ujuha wenu,CCM itaendelea kuwaongoza tu kama hamtoacha ujinga na kuanza kutumia akili.Unasimama naye wapi wewe zuzu,where there is smoke,there is fire.
Utasimama na Rais wapi wewe, unataka kuwa Bashite? usikute hata chai hujanywa lakini kiherere mtupu.
Kwani wewe umeshuka kwenye hili Lori? Uelekeo ni kusini mzee baba.Kufanya nn???!!!
Wenzetu uchumi ukiyumba huwa wanalazimika kuweka mpaka stimulus package; sasa wa kwetu hata kile kidogo tulicho nacho hawakilindi eti wanaolalamika walikuwa wapigadili. Tuwe serious, uchumi hauwezi kukua kwa "kukunja ndita" tu, kuna application nyingi za mbinu zinahitajika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchumi unakua kwa kasi ya ajabu!! Eleweni hivyo tu! No statistics required! No refference data's entertained! No factual translations to cuddle! No Nothing!!!uchumi wetu unapaa!! Kama ukibisha tutakupima mkojo kudhihirisha hilo!! Hakuna msema kweli kama mkojo!
Kwahiyo umejibu hoja hapaBavicha tatizo huko kwenu mlikimbia hesabu...hahahaba