Scarlet Pimpernel
JF-Expert Member
- Feb 22, 2017
- 576
- 402
niliwah kuuliza swali hill muhim non maana ya kukua kwa uchumi
Production and consumption of goods and services = Uchumi = Mzunguko wa hela
niliwah kuuliza swali hill muhim non maana ya kukua kwa uchumi
Unapigania na kulilia huo wa taifa kushuka kishabiki tu.. Wakwako na familia yako umeupandisha mpaka ngapi??! Pambana na hali yko, ya Ngoswe muachie NgosweEndeleeni na propaganda uchwara zenu,kila mnalolianzisha baya linafeli na bado mtaendelea kukosa hoja hivohivo by 2020 mnakufa kifo cha mende kwa sababu ya ujuha wenu,CCM itaendelea kuwaongoza tu kama hamtoacha ujinga na kuanza kutumia akili.
.English ni tatizo kwako... hiyo 7.1 ni average ya mwaka,ila kwenye robo ya kwanza mwaka jana tulikua 6.8 wakati sasa tuna 5.7 kwa hiyo 5.7-6.8=-1.1
Unapaswa uwe na ufahamu mzuri wa lugha pia walau elimu ya msingi ya uchumi au uhasibu ili uweze kubishana kwenye mambo haya
Hizo ni indicators huwezi kusema uchumi umeshuka,zinaweza kuja za robo ya pili zikapita kwa mbali za robo ya kwanza.
Duh, kwa hiyo ni mwendo wa kushuka tu?
Kufa hatufi ila cha moto tutakiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dhana zinajirudia rudia hapa.Nimekukusanyia vichache kama hauvijui
1. Kubwatuka ovyo (unpredictability and uncertainty) - hata watendaji wanashindwa hata kutoa usharui sasa. Ukitoa ushauri tofauti unatumbuliwa.
2. Maamuzi ya ghafla (unpredictability) k.m viroba, makinikia (hata kama wanihisi wizi kuna namna ya kushughulikia. Kama wamekosea je?), Bombarider
3. Kutolipa suppliers (kuna makumpuni mengi yana filisika yanaidai Serikali. Tunajua Serikali huwa sio mlipaji mzuri sana lakini safari hii ni balaa. Trillions zinadaiwa zimeshikiliwa na bwana mkubwa)
4. Reduced Governement spending imeupunguza mzunguko wa hela ambao kimsingi ndio uchumi. Sisemi hela itumike vibaya, naongelea kulipa suppliers, kuweka hela commercial banks, serikali kufanya biashara na private sector (mfano uko number 5)
5. Serikali kutaka kufanya kila kitu kwa mtazamo mbovu kwamba akitajirika mtu binafsini vibaya. k.m Sasa hivi kila taasisi ya Serikali inambiwa watumie huduma ya TTCL wakati TTCL ina huduma mbovu, reponse ni slow na inaathiri efficiency ya watumiaji. Anataka kuua privte competition wakati anashusha quality of servie hapo hapo na kuathiri shughuli za wateja
6. Aggressive taxation - mara kodi kwa bank services, alafu unawazui wasipeleke hio cost kwa wateja, tax on auxillary services (port) ikaamisha biashara kwenda kenya/mombasa na South Africa. Hiyo tax ni ndogo sana ukiangalia pesa serikali na wananchi wangepata kwa malorry kununua mafuta, kipato na matumizi ya madera, familia zao (kodi kwenye mafuta ya malorry, mishahara, VAT kwenye goods and services sold to the logistis industry. Hiyo tax on auxillary services kenya hawana na tunapaswa kushindana nao kuvutia mizigo port. Hata kodi inaweza kuua uchumi
na kadhalika.....
Production and consumption of goods and services = Uchumi = Mzunguko wa hela
Kwake hata kulala njaa ni kaziNgosha atakwambia "hapa kazi tu"
Hhhaahahaha what do you mean first lady mkuuKwa mabadiliko ya kiuchumi anayofanya Rais Magufuli usitegemee IMF na World Bank wataandika mazuri kwa Tanzania lazima ujue mashirika hayo ni tools za makampuni yananyonya nchi za kiafrika.
Kuifananisha Zimbabwe na Tanzania ni makosa kwani Zimbabwe inaongozwa na first lady.
Kuna dhana zinajirudia rudia hapa.
Ukiangalia habari ya kutaka taasisi za serikali zote ziweke fedha benki kuu, ingawa nia inaweza kuwa nzuri kubana ufisadi, lakini hili nalo limechangia kupunguza mzunguko wa fedha na kuzidisha muanguko wa uchumi.
Hili lina elements za uliyoyataja hapo juu.
Kutoka 1 serikali imekurupuka bila uchunguzi wa kina.Kulitakiwa kuwe na quantitative analysis ya kujua tubane mpaka point of diminishing returns tu, tukizidi kubana zaidi ya hiyo point tutaharibu.
Serikali yetu haijui nuance ya ku determine "point of diminishing returns".
Ni kama mtu anayeambiwa "aisee, biashara ya dhahabu kwa sasa inalipa sana, nunua dhahabu" akaenda kununua dhahabu tu, mradi ananunua dhahabu, bila kujua kwamba hata ukinunua dhahabu, ukinunu kwa bei inayozidi bei unayoweza kuiuza, ingawa kununua dhahabu ni kitu kizuri, utakuwa unafanya baishara kichaa.Unatakiwa ununue dhahabu kwa bei itakayokuja kukupa faida tu.
Sasa hapa nalinganisha juhudi za serikali kubana ubadhirifu kwa kutaka fedha zote za taasisi za serikali ziwekwe benki kuu kuwa sawa na kununua dhahabu.Hili ni jambo zuri kimsingi. Lakini, lifanywe kwa weledi na kiasi.Tujue, tubane kwa kiasi gani ili tuepushe ubadhirifu to the maximum possible without afecting the economy by choking money circulation.
Hapo ndipo kuna tatizo. Serikali ikishasema tu "taasisi za serikali zina ubadhirifu mkubwa sana, tuzuie vipi?" jibu linakuwa simple and because of this, stupid. Weka hela zote benki kuu.Za wabadhirifu na wasio wabadhirifu, zote weka benki kuu zikae tu bila kutumika katika mzunguko wa baishara.
Ukiangalia mambo mengi hayo ya reduced government spending concept hiyo hiyo inajirudia.Watu wanapata jibu fulani, hawafanyi quantitative analysis - especially troubling since we have a Chemist PhD who should know a thing or two about quantitative analysis, this is secondary school chemistry after all)
Throwing the baby with the bathwater.Ni kweli dhana zinajirudia kwa mifano tofauti. Kimsingi kama ulivyosema, nia ni nzuri na nia ni Ku-solve issue ya corruption lakini mtu anakua so obsessed with that anashindwa kuona "the bigger picure" - throwing the baby with the bath water.
1. Unpredictability kwenye nini? kwenye kushughulikia wezi? yaani wezi wanataka RAIS awe predictable? huo ni uzuzu.Nimekukusanyia vichache kama hauvijui
1. Kubwatuka ovyo (unpredictability and uncertainty) - hata watendaji wanashindwa hata kutoa usharui sasa. Ukitoa ushauri tofauti unatumbuliwa.
2. Maamuzi ya ghafla (unpredictability) k.m viroba, makinikia (hata kama wanihisi wizi kuna namna ya kushughulikia. Kama wamekosea je?), Bombarider
3. Kutolipa suppliers (kuna makumpuni mengi yana filisika yanaidai Serikali. Tunajua Serikali huwa sio mlipaji mzuri sana lakini safari hii ni balaa. Trillions zinadaiwa zimeshikiliwa na bwana mkubwa)
4. Reduced Governement spending imeupunguza mzunguko wa hela ambao kimsingi ndio uchumi. Sisemi hela itumike vibaya, naongelea kulipa suppliers, kuweka hela commercial banks, serikali kufanya biashara na private sector (mfano uko number 5)
5. Serikali kutaka kufanya kila kitu kwa mtazamo mbovu kwamba akitajirika mtu binafsini vibaya. k.m Sasa hivi kila taasisi ya Serikali inambiwa watumie huduma ya TTCL wakati TTCL ina huduma mbovu, reponse ni slow na inaathiri efficiency ya watumiaji. Anataka kuua privte competition wakati anashusha quality of servie hapo hapo na kuathiri shughuli za wateja
6. Aggressive taxation - mara kodi kwa bank services, alafu unawazui wasipeleke hio cost kwa wateja, tax on auxillary services (port) ikaamisha biashara kwenda kenya/mombasa na South Africa. Hiyo tax ni ndogo sana ukiangalia pesa serikali na wananchi wangepata kwa malorry kununua mafuta, kipato na matumizi ya madera, familia zao (kodi kwenye mafuta ya malorry, mishahara, VAT kwenye goods and services sold to the logistis industry. Hiyo tax on auxillary services kenya hawana na tunapaswa kushindana nao kuvutia mizigo port. Hata kodi inaweza kuua uchumi
na kadhalika.....
Production and consumption of goods and services = Uchumi = Mzunguko wa hela
1. Unpredictability kwenye nini? kwenye kushughulikia wezi? yaani wezi wanataka RAIS awe predictable? huo ni uzuzu.
Nani katoa ushauri wa maana akatumbuliwa au unahisi mkuu?
2. Kwenye viroba ulitaka aamue taratibu wakati kwanza tulishachelewa sana! hadi vijana wakawa mazezeta barabarani?
Makinikia pia ulitaka tuendelee kuibiwa kwanza ndo aamue? ndo uchumi wetu ungekua?
3. Katika hali tulipokuwa tumefikia hakukuwa na jinsi mkuu. katika madeni yote ya suppliers ilikuwa ni lazima kuhakiki madeni genuine yalikuwa ni yepi. Hakuna kiongozi yeyote anayeweza kurekebisha uhovyo tuliokuwa nao bila kwanza wananchi kuumia hapa na pale. Hata Mh RAIS alishatuambia kuwa kutakuwa na kuumia kwa kipindi fulani ili kuirejesha nchi kutoka kwenye uhovyo tuliokuwa tumeufikia. Ni kweli kuna suppliers genuine kabisa wamekumbwa na maumivu haya hata wafanyakazi tuna madai mengi hatujalipwa lakini kwa tunaoelewa anachokifanya RAIS na malengo yake tupo happy kwa sababu tunajua wenye madai halali tutalipwa tu baada ya kuhakiki madeni na kuondoa madeni hewa.
4. Hili silijui vizuri.
5.Mkuu ushauri hapa ni serikali ijitoe kwenye biashara ya simu ili akina Voda, Tigo waendelee kuneemeka. Maana haiwezekani watoto wako ndani ya nyumba wakale pilau kwa jirani kisa kwako umewapikia ugali. Sioni shida kwa serikali kusisitiza kutumia TTCL ili nayo ikue itoe huduma bora. Kwanza unajua ni kwa nini TTCL imekuwa ikifanya vibaya? Imehujumiwa sana na hayo makampuni unayoyasifia mkuu. The story is very long ukitaka kujua kwa nini TTCL haikui.
6 Sijajua kama kuna kodi zozote zimeongezwa hadi uite aggressive taxation. Ninachojua usimamizi umeimarishwa zaidi which is a good thing.
Magufuli hapo nyuma kila sehemu alipokuwa akihutubia alisimama kwa mbwembwe na kutamba kuwa uchumi umekuwa huku akitumia izo data za IMF. Leo umnaziita et ni data za mabebari.heradius12
Umechanganyikiwa na unawachefua watanzania kipindi hiki ambapo kila mtanzania mwenye akili nzuri anaunga mkono juhudi za serikali na wananchi kujenga uchumi ulio imara.
Ujinga na ulimbukeni wako kuwatajatajia vitu kama IMF vyenye rekodi chafu za ubepari ni kupoteza muda wako maana wazalendo hatutakuelewa katu!!
UsirudieKosaKupigiaKuraUpinzaniOvyoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta reference Baba wa Taifa akituonya juuu ya IMF. Alfu hizi data hazijatolewa na IMF. Wao walituonya tu.Baba wa Taifa alishatuonya sana kuwasikiliza hao IMF na alituambia IMF sio wajomba zetu and is not an "International Ministry of Finance"
Hivi walishawahi kutuonya hata siku moja kuwa uchumi wetu unashuka kwa asilimia ngapi kwa kusafirisha makinikia na akina Barrick kurusha dhahabu zetu directly nje kutoka machimboni?
Walishawahi kutushauri kujenga smelters kwetu ili kudhibiti wizi na kutengeneza ajira nchini kusaidia uchumi wetu kupanda?
Unapowasikiliza kuwa makini kuchanganya na za kwako.
Mbona magufuli mpaka hivi sasa anamazungumzo yasiyokuwa na mwisho na wale aliowaita wezi wenye campuni ambayo haikusajiliwa lakini mpaka hivi sasa wanaendelea kusomba madini yetu wakati hawajasajiliwa?Kwa hiyo solution ni kumshauri RAIS asiwabwatukie wakwepa kodi na MAFISADI awe anasema nao kama Kikwete alivyokuwa akisema na MAFISADI na wapiga dili ili uchumi upande.
Tumshauri RAIS aache vita ya kiuchumi ili waendelee kutuibia IMF watusifie halafu uchumi wetu upande.
Kwa hiyo production yetu kwa sasa ipoje?? Maana tusikimbilie kula bola kuzalishaProduction and consumption of goods and services = Uchumi = Mzunguko wa hela
Kama ukibana uchumi wa ndani kukua, unfriendly exobitant taxs vats etcs, kunyanganya mabenki fedha, kutishia wafanyi biashara kudhulumu mitaji, uchumi utakuwaje ??
Nianze nakukumbushia jinsi IMF walivyotuonya mapema:-
DAR ES SALAAM, Jan 10 (Reuters) - The International Monetary Fund has warned Tanzania that the country's economic policies threaten its forecast for growth in fiscal year 2016/17 (July-June) of around 7 percent.
President John Magufuli promised when he was elected last year to reform an economy hobbled by red tape and corruption and begin a programme to develop public infrastructure.
But the IMF said progress has been slow and lack of public spending is curtailing liquidity.
"There are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government's new economic strategies," the IMF said late on Monday in its latest review.
Tanzania projects growth of 7.2 percent for 2016, up from 7.0 percent in 2015, led by mining, telecoms, construction and financial services.
"Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector," said the IMF.
Tanzania's economy grew 6.2 percent in the third quarter of 2016, compared with 6.3 percent in the same quarter of 2015. (Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by George Obulutsa, Larry King)
Sasa hata mwaka haujaisha matokeo tumeyaona.
Habari kamili:-
DAR ES SALAAM (Reuters) -Tanzanian growth slowed to 5.7 percent in the first quarter of this year, hurt by slower-than-expected performance of construction, transport, agriculture and the financial services sectors, the statistics office said on Thursday.
Growth in the same period of 2016 was 6.8 percent.
The state-run National Bureau of Statistics (NBS) said the construction sector grew 8.4 percent in January to March, compared with 8.9 percent a year ago, while transport and storage grew 4.1 percent from 7.9 percent previously.
“During the period under review, mining and quarrying increased at the highest growth rate of 35.3 percent followed by information and communication at 13.8 percent,” it said.
NBS attributed the surge in growth of the mining sector to increased production of gold, tanzanite, copper and coal.
Tanzania is Africa’s fourth-biggest gold producer and also has vast deposits of coal, uranium and gems.
Tanzania’s economy, East Africa’s second biggest, also relies on rain-fed farming, tourism and communications.
Agriculture sector growth edged down 2.6 percent in the first quarter compared with 2.7 percent a year ago, while growth in the financial intermediation and insurance services sector also slowed to 8.1 percent from 13.5 percent a year ago.
Tanzania projects its economy to grow 7.1 percent this year from 7.0 percent in 2016, making it one of the fastest-growing in Africa.
Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala; Editing by Ed Cropley
Ila mfa maji haishi kutapatapa. Mtasikia mara ohh Wapiga dili wamedhibitiwa, mara Wazungu wanatuchakachua. Ila numbers don't lie.
Vey soon tutaelekea Zimbabwe kama tutaendelea kutumia wasomi wachumia tumbo na wenye tabia za kibashite. Wao hawaangalii kesho na wala hawana uchungu na kizazi chao.
Naomba niwataje kabisa.
1. Lipumba
2. Mwakiembe
Sent using Jamii Forums mobile app