Asiyoyajua Yericko Nyerere katika utafiti wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

Hapo namba 10 huyo ilunga alikuwa hatari sana kwa mustakabali wa nchi alihimiza mauaji ya mapadri z'bar. Nashangaaa umemwandikia hadi ngano za kumsifu hakika ewe mzee Mohamed Said huipendi nchi yetu.
 
Wewe bwana busara zako zimetengemaa kabisa zinafaa kutizamwa kwa jicho la tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii lugha unayoitumia
inatia ukakasi wa hata hicho
unachoita kitabu.

Maneno yako ya chuki
Kwa mzee Mohamed Said yanaonesha ni namna gani maandishi yake yanavyowaumiza wengi mfano wako.

Poleni sana ukweli utashinda siku zote.

 
Kijana chuki yako ni ya kiwango cha Lami.

Maneno ya chuki na hasira kwa Mzee Mohamed Said kwake ni kama daktari anayemchoma sindano mtoto anayepiga kelele za kilio.

Kilio na kelele hazimfanyi daktari aache kumchoma sindano. Acha alie lakini dawa lazima iingie apone.

Ashatukanwa sana hapa JF lakini hakushughulika na matusi bali ameendelea kutoa darsa kwa wanajamvi.

Pole sana vumilia utaelewa somo kidogo kidogo.

 
Hao uliwataja na kuweka picha zao wana vitabu??? Tutajie ili tulinganishe na vya Yericko then tukomfem
 
Torch,
Ungesoma kitabu ungekuwa katika hali nzuri sana ya kuchangia mjadala huu.
Kuhusu kitabu sawa. Ila sio huyo MTU unamuita ilunga impact imeathiri familia zetu na viongozi wetu wa kikristo.

Nakuheshimu sana ila kukubaliana na huyo mtu (Mungu amsamehe maaana ni marehemu), kwangu napoteza credibility ya kuamini chochote toka kwako.
 
nimeandika nikafuta sababu.. unaboa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Torch,
Sijajua unakusudia nini unaposema kuwa nakubaliana na Sheikh Ilunga.
Mimi nilichofanya katika kitabu hicho nimeandika maisha yake kama nilivyomfahamu.

Ndiyo nikakushauri usome kitabu ujue kinasema nini.
.
 
Huyu jamaa ni muumini wa mambo ya Oman na anaamini utafiti na elimu ya Dubai ipo juu! Nchi iliyoanza kuwana chuo 1980s!
 
Bwana Ridhiwani mbaraka

Mbona mzee wetu Mohamed said ameandika kitabu ambacho hajaacha kitu ktk historia ya Zanzibar.
Unamtuhumu kwa usiyoyajua lkn inaonekana umeweka nia ya kumkosoa ndio maana hata hapo alipoandika kuwa yericko amecopy sehemu ya maandiko yake.
Huulizi ameandika wapi ambako bwana yericko amecopy

Tafuta kitabu KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU

Hata mtandaoni kipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Ndugu you hae made my day. Comment yako kwa mzee Mohamed imenikosha sn. Mzee amekuwa ni mtu wa kuvizia nkukosoa palipokosewa, lakini yeye hata kama aliujua ukweli hajawahi kuuandika yeye kama yeye na kiweka kumbukumbu kwa vizazi. Ingawa hii ni post ya kitambo, ila nimeona mawazo yako ni chanya sn. Nyie ndio watu mnaotakiwa kuwepo humu JF.

Ridhwani Mbaraka
 
Amewasahau mtu km bint kamba muasisi mwanamke wa chama Cha TANU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…