Askari 7 wanaodaiwa kumuua Mfanyabiashara wa Madini kupandishwa Kizimbani Januari 11

Askari 7 wanaodaiwa kumuua Mfanyabiashara wa Madini kupandishwa Kizimbani Januari 11

Ajali kazini,Gilbert Kalanje ni Depo yangu,tukafanya kazi wote Oysterbay na kisha Kawe Polisi,akapanda Vyeo mpaka kuwa SP,sasa hivi amemaliza mwaka Mahabusu[emoji24][emoji24]ukisikia maisha ni kupanda na kushuka ndio huku sasa
si ajabu ungekuwa polisi hata cheo cha Sajini ungekuwa hujapata. hapo ndio ungelijua vizuri jeshi la ukoo polisi😭😭😭

nawafahamu namba D wanao karibia kustaafu wakiwa sajini meja na wengine hata huo umeja awauonja. huku dogo tu namba J. akiwa ni MKAGUZI {R.I.P Inspekta Nyombi}​
 
Tuna mahakama dhaifu mno watashinda keshi
DPP yuko vizuri,hao askari watakula mvua za kutosha tu,maana top DPP wa sasa hivi alishawai kua police, kwa hiyo michezo michafu ya police wachafu anaijua vizuri tu,kwa hiyo lazima atawakomesha!!
 
Back
Top Bottom