Ajali kazini,Gilbert Kalanje ni Depo yangu,tukafanya kazi wote Oysterbay na kisha Kawe Polisi,akapanda Vyeo mpaka kuwa SP,sasa hivi amemaliza mwaka Mahabusu[emoji24][emoji24]ukisikia maisha ni kupanda na kushuka ndio huku sasa
si ajabu ungekuwa polisi hata cheo cha Sajini ungekuwa hujapata. hapo ndio ungelijua vizuri jeshi la ukoo polisi😭😭😭
nawafahamu namba D wanao karibia kustaafu wakiwa sajini meja na wengine hata huo umeja awauonja. huku dogo tu namba J. akiwa ni MKAGUZI {R.I.P Inspekta Nyombi}
DPP yuko vizuri,hao askari watakula mvua za kutosha tu,maana top DPP wa sasa hivi alishawai kua police, kwa hiyo michezo michafu ya police wachafu anaijua vizuri tu,kwa hiyo lazima atawakomesha!!