Askari aliyemtolea bastola Nape bado yupo?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kweli elimu haina mwisho, wote wenye mamlaka na madaraka leo heshimu watu, ogopeni watu, tumikieni watu na kuweni na kiasi, maana leo haifanani kila kitu na kesho. Kuna jamaa mchana kweupe alitaka kumtwanga risasi kiboya Mh. Nape ambae leo ni waziri tena.

Yule jamaa anajisikiaje leo kama bado yuko Tanzania?

Kutokana na tukio lile naomba Mh. Nape amkumbuke Maulidi Kitenge.
 
1644569396401.png
 
Back
Top Bottom