Kweli elimu haina mwisho, wote wenye mamlaka na madaraka leo heshimu watu, ogopeni watu, tumikieni watu na kuweni na kiasi, maana leo haifanani kila kitu na kesho. Kuna jamaa mchana kweupe alitaka kumtwanga risasi kiboya Mh. Nape ambae leo ni waziri tena.
Yule jamaa anajisikiaje leo kama bado yuko Tanzania?
Kutokana na tukio lile naomba Mh. Nape amkumbuke Maulidi Kitenge.
What if he ................... in blackin' carNi kitenge alimuokoa Nape asiingixwe kwenye gali jeusi la watu wasiyojulikana.
Angeingia kwenye hiyo gari nyeusi ingekuwa ybe ybe kwisha havarNi kitenge alimuokoa Nape asiingixwe kwenye gali jeusi la watu wasiyojulikana.