Askari aliyeua kwa risasi raia wanaoandana kwa Amani namwita gaidi

Askari aliyeua kwa risasi raia wanaoandana kwa Amani namwita gaidi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Wasalaam
Askari polisi aliyeenda chuo akasoma akaelewa ukakamavu anawezaje kufyatua risasi ya moto na kumpiga mwandamanaji Mtanzania aliyebeba bango?

Askari ameapa kulinda raia na mali zao, Je kuwapiga risasi ya vichwa Watanganyika hawa wa simiyu ni haki?

Huyo askari ni gaidi, akamate ashitakiwe Kwa makosa ya ugaidi

Hana tofauti na Osama au Jihad John
 
Back
Top Bottom