Askari amlawiti kijana kwa kutovaa barakoa

Askari amlawiti kijana kwa kutovaa barakoa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
John Ouko askari Polisi wa Kenya anatuhumiwa kumlawiti kijana wa miaka 20 ambaye alimkamata kwa kosa la kutovaa barakoa.

Kijana huyo aliripoti katika kituo cha polisi cha Langas kuwa alikamatwa lakini badala ya kupelekwa rumande askari huyo alimfunga pingu na kumpeleka nyumbani kwake ambapo ni kota za polisi.

Baada ya kulawitiwa askari alimlipa Takribabn Tsh. 4000 ili asitoe siri hiyo. Askari huyo amekamatwa na kijana amepelekwa hospitali kwa matibabu.

===

A police officer has been arrested on suspicion of sodomizing a 20-year-old Eldoret National Polytechnics student.

According to a police report filed at the Langas Police Station on Wednesday, a police officer stationed at the same station PC John Ouko, arrested the student for not wearing a mask.

The student told the cops that the officer handcuffed him and led him to his house inside the police quarters where he sodomized him.

“….that today at around 1630hrs a police officer stationed at Langas police station namely PC John Ouko arrested him for not putting on mask and handcuffed him and diverted him into his room within police quarters and sodomized him and thereafter gave him Ksh.200 telling him not to disclose the matter to anybody.,” the police report explains.

Following the report, the officer was arrested and is currently in custody.

Meanwhile officers escorted the student to the Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret for a medical examination.
 
Kenya police ndio police katili duniani kote kwenye rank ya world worst police index.

Na Marekani wanaume wa Kunyaland wanaongoza kuolewa.

Hivi wakunya wanajua kwamba huku Tanzania mwanaume ukiambiwa utapelekwa Mombasa kunatokea ugomvi wa silaha? Kunyaland ina sifa mbaya sana when comes to sodomizing.
 
Ama dogo kamgeuzia kesi, sasa hiyo elfu 4 kampatia ya kazi gani
 
John Ouko askari Polisi wa Kenya anatuhumiwa kumlawiti kijana wa miaka 20 ambaye alimkamata kwa kosa la kutovaa barakoa

Kijana huyo aliripoti katika kituo cha polisi cha Langas kuwa alikamatwa lakini badala ya kupelekwa rumande askari huyo alimfunga pingu na kumpeleka nyumbani kwake ambapo ni kota za polisi
Umesahau CC: MK 254 na Tony254
 
Inaonekana huyo kijana alitaka huo mchezo. Yaani mtu akupeleke nyumbani kwake tena kota za polisi ambazo huwa zina wakazi wengi tu, aanze kukuvua nguo na yeye avue nguo, kisha aanze kukuingilia na usipige kelele za kuomba msaada?

Halafu ulipwe 4000 ndiyo uende polisi kutoa repoti?

Au labda dau alilopewa ni dogo?
 
Minya pumbu una muhasi hiyo ndogo alokula inakuwa ya mwisho kisha akipenda atakuwa analiwa yeye bila shuruti
 
Back
Top Bottom