Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waniue tu ila sikubali kuonewaWeee, Alkua anasema atamuwashia moto, kwa maana alkua anatoa bastola, hapo ni kua Mpole tu
Tuombe Mungu anipe hekima kama unavyosema.Wanaumoja Hawa ndugu na ni rahisi hata kukuua kupoteza ushaidi, omba hekima siku ukikutana na kadhia kama hiyo
Inasikitisha sana...
askari huwa hawapigani kushindwa hilo ondoa kichwani,yaani ni lazima upoteze pambano hata kama ni kesho jioni.
yaani utambe kwamba umekaza kituo kizima wameufyata.weeee