"Askari" aonekana akimwekea Davis Mosha kitu mfukoni

"Askari" aonekana akimwekea Davis Mosha kitu mfukoni

Hizo mbinu walisoma zamani kabla ya tekinolojia na wao wanaendelea kuzitumia ka kukariri bila kujua teknolojia inawaumbua, kwa mwendo huo kamwe hatutafika maana ni full mawazo mgando
Halafu kuna wapuuzi eti wanajaribu kutetea huo uhuni!!!
 
Nimeangalia Mara 17 but sijaelewa. Suruali ya mosha imembana saaana kuwekewa kitu so jambo rahisi
Hoja sio kama alifanikiwa kuweka au hapana bali hoja ni dhamira ya huyo jamaa!! Hoja yako ni sahihi, kutokana na suruali ya Mosha kubana, inawezekana zoezi lilishindikana lakini je, si inaonesha alikuwa na hiyo nia?
 
Nimeona jamaa kaingiza mkono mfukoni mwake kisha akaibua mkono ambao ameufinyata akajisogeza pembeni mwa Mosha, ila kumuwekea kitu mfukoni binafsi sijaona hilo tukio. Sishabikii vitendo vyote viovu.
 
Hivi sheria zinasemaje!? Hawatakiwi wawe na vitambulisho hawa,!? Hawatakiwi wavioneshe kabla ya kufanya chochote!? Hwatakiwi wawe na search warranty!? Au mimi ndo sielewi!? Kama walikuwa navyo vyote hivyo imekuaje kuaje mpaka wakaanza kushikana mashati na huyo Mosha!?

Sikia clip yote kaka, usijadili usichokijua! Afterall huyo sio askari ni mpambe wa Mosha!
 
Hawamfanyi lolote!
Mtoto wa mjini Davis!
 
Davis aliingia kichwa kuchwa baada ya kukutana na mtaalamu wa social media networks. Aliinvest hela nyingi kuanzisha Swahili TV. Baada ya Mitanni kufika ndipo alipogundua mtaalamu aligraduate kutoka local library of Brooklyn Community.
local library of Brooklyn , hahahahahaha!!!
 
Nimeangalia Mara 17 but sijaelewa. Suruali ya mosha imembana saaana kuwekewa kitu so jambo rahisi
Kwa Hiyo hata Mosha mwenyewe hawezi kuweka kitu mfukoni mwake?
Yaani akitaka kuweka Simu, funguo ya gari, pesa etc atashindwa?
 
Ila wabongo sie kwa kutunga lol unkiangalia vizuri jamaa aliweka alitoa mkono mgukoni lengo ni kutaka kumshika mtuhumiwa hata alipogeuka utaona shati yake imekunjana na mkanda wa suruali kuweni makini na hisia zenu
 
Nimeangalia kwa makini clip ya askari waliojifanya kuwa wa IMMIGRATION waliokwenda kwa Davis Mosha,Mmoja wa hao "maaskari" aliyevaa shati la kijivu alimsogelea kwa kumvizia Davis Mosha wakati wakibishana na hao "askari feki" akamuwekea kitu mfukoni halafu akamsukuma. Tumesikia kuwa Davis Mosha alipelekwa polisi.....Ninahisi kuwa aidha walimtilia bangi au Dawa za kulevya au simu waliyosema aliwanyang'anya wao. Aliyevaa shati la kijivu anafanana na yule aliyemtolea Nape Nnauye bastola mwaka jana.
Inasikitisha kuona nchi yetu inaharibiwa na hao askari wa Makonda. Huo ni mfano mwingine wa aina ya uvamizi unaofanywa na askari wa Makonda, ukianzia Clouds TV, Utekaji wa Roma Mkatoliki na uvamizi kwenye kituo cha mafuta cha Peter Zakaria huko mkoani Mara. Aina hiyo ya uvamizi na utekaji unafanana kwa namna moja au nyingine hivyo inaonekana mpangaji wa hayo maovu inawezekana akawa mtu mmoja ambaye si mwenye akili kabisa, Tumefikia pabaya kwa mambo yanayotokea nchini mwetu imekuwa kama Uganda wakati wa Idi Amin na Malyamungu walivyokuwa wakitumia vikosi vya State Bureau kuteka na kuua (au kupoteza watu....Kama anavyosema Jerry Muro) Hiyo link hapo chini utaona video yote. Kama utaclick na itashindwa kufanya kazi copy


Kawekewa kinasa sauti tu huyo, alivyokuwa anatishia kuchapa watu makofi, asikike kwa matumizi ya baadae!!
 
Watanzania bana. Unaona ktk clip kisha unafanya hitimisho wakati kashikiliwa kwa kitu kingine wewe waja na porojo zako na isiyoshe tukio lako hapo halina mashiko.
 
Davis aliingia kichwa kuchwa baada ya kukutana na mtaalamu wa social media networks. Aliinvest hela nyingi kuanzisha Swahili TV. Baada ya Mitambo kufika ndipo alipogundua mtaalamu aligraduate kutoka local library of Brooklyn Community.
Aaaah eti local library, kwani alimuonyesha vyeti.
 
Davis aliingia kichwa kuchwa baada ya kukutana na mtaalamu wa social media networks. Aliinvest hela nyingi kuanzisha Swahili TV. Baada ya Mitambo kufika ndipo alipogundua mtaalamu aligraduate kutoka local library of Brooklyn.
Unasema kiba100 kagradueti chuo cha kata Marekani?
 
Mission impossible,suruale ya mosha ipo tight sana
 
Back
Top Bottom