nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Hebu leta chai kwanza tunywe.
Umesikia ccm imesema haitajishughulisha na majambazi wa eskerewuu manake hiyo ni issue ya sirikali? Umejiandikisha kuuza kura kwanza?
af yule jamaa Rugemarira sijui ana matatizo gani, mi nilimpa acc no yangu nashangaa sijui kwanini namba hazijabadilika mpaka now.
hivi unavyosoma kwa kujump jump? nna wasiwasi hata hiyo namba umeiruka hujaiona. Nipe atm card yako niende nikakuangalizie salio:msela::msela:
Watu hawsomi na kuelewa mwndshi ana key qnstn zip,kudesa kwingi viuoni knangusha ufaham.it pains!
wewe unachotakiwa ni kukosoa jibu langu na si kuleta majibizano yasiyo na msingi.
Nasubiri kuona jibu lako nijue wapi nimekosea.
Wakuu naombeni msaada wa kisheria,mwezi wa 8 nilikamatwa na police na hatmae ndg zangu kunitoa kw dhamana.hata hvo walniambia lazma niwe na riport central police kila baada ya wik ,na toka mwzhuo nmekua narpot. Kwa kua nakaa kigoma na ndko nafanyia biznes zangu nimeona nwaombe niwe narpot kulekule hata hvo police wamekataa.mazingira ya kesi yangu ni ya kubambikiziwa .je sheria inaruhusu kufungua shaur mahakamani dhidi ya police kwa ucheleweshaji wa kunipeleka mahakamani,?je kwa kua mlalamikaji hawaniambii. je kama ntaonekana sna hatia police naweza wafungulia kesi ya madai mana naingia hasara nyngi na swala hili? Naombeni ushauri wakuu?
swala si kukukososa maana hata kuingia kwenye mada kwenyewe haujaingia... naanzia wapi kukukosoa...mimi sishida yangu kukuzingua! lakini nataka tu uelewe watu jamaa anataka msaada gani
unaandika ukiwa mahabusu?
hahaha,
why?
Wakuu naombeni msaada wa kisheria,mwezi wa 8 nilikamatwa na police na hatmae ndg zangu kunitoa kw dhamana.hata hvo walniambia lazma niwe na riport central police kila baada ya wik ,na toka mwzhuo nmekua narpot. Kwa kua nakaa kigoma na ndko nafanyia biznes zangu nimeona nwaombe niwe narpot kulekule hata hvo police wamekataa.mazingira ya kesi yangu ni ya kubambikiziwa .je sheria inaruhusu kufungua shaur mahakamani dhidi ya police kwa ucheleweshaji wa kunipeleka mahakamani,?je kwa kua mlalamikaji hawaniambii. je kama ntaonekana sna hatia police naweza wafungulia kesi ya madai mana naingia hasara nyngi na swala hili? Naombeni ushauri wakuu?
Toa hoja za kisheria,acha mbwembwe...!