nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Hebu leta chai kwanza tunywe.
Umesikia ccm imesema haitajishughulisha na majambazi wa eskerewuu manake hiyo ni issue ya sirikali? Umejiandikisha kuuza kura kwanza?
af yule jamaa Rugemarira sijui ana matatizo gani, mi nilimpa acc no yangu nashangaa sijui kwanini namba hazijabadilika mpaka now.