Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Inashindwa kivipi mkuu? Au ulitaka ianze kumfuatilia kila anachofanya kila sehemu atakapokuwa? Wangejua vipi maisha ya mtuhumiwa na mambo yake ya moyoni na ku predict kinachokuja kutokea?Serikali mbn kama inatka kushindwa katika swala la ulinzi na usalama