Baba Rayhaan JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 634 Reaction score 436 Jul 15, 2021 #21 Eddoh willium said: Serikali mbn kama inatka kushindwa katika swala la ulinzi na usalama Click to expand... Inashindwa kivipi mkuu? Au ulitaka ianze kumfuatilia kila anachofanya kila sehemu atakapokuwa? Wangejua vipi maisha ya mtuhumiwa na mambo yake ya moyoni na ku predict kinachokuja kutokea?
Eddoh willium said: Serikali mbn kama inatka kushindwa katika swala la ulinzi na usalama Click to expand... Inashindwa kivipi mkuu? Au ulitaka ianze kumfuatilia kila anachofanya kila sehemu atakapokuwa? Wangejua vipi maisha ya mtuhumiwa na mambo yake ya moyoni na ku predict kinachokuja kutokea?