Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
3,915
Reaction score
6,272
Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta

Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta

"... inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta...". Malizia maelezo vizuri; " ili wawauwe... ".
 
Na wengi wataenda kujisalimisha mbele ya jeshi la Ukraine ili wapate nafasi ya kukimbia maisha ya kidikteta...nusu ya jeshi hawatarudi tena North Korea
Kweli kabisa. "Mapank" ameishia kupata sifa za Ku-donate wapiganaji lakini Ukraine amenufaika kwa kuongezewa wapiganaji na kupata Taarifa za Warusi.
 
Back
Top Bottom