Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa.

hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi.
Sentensi ya kwanza hapo 👆👆 adhabu haiwezi kutekelezwa tena;
Na hiyo sentensi ya pili; hicho ndicho watakachofanya.
Mwisho wa siku Mr.Kiduku atabaki anashangaa.
 
Hawa hawarudi korea wala urusi. Kiduku kwisha habari yake. Wanaenda expose korea ya kiduku yaan marakan na watuye wamepata pakuanzia
Unazijua Propaganda na nguvu yake ktk vita?.
Hili lichukulie kwa namna mbili tofauti yaani; Propagada za kutengeneza ili kufikia lengo maalum hitajika kwa wakati huo kwa wahusika na Propaganda za kweli. Asa hapo hujajua ukweli upi tayari ushaanza kuropoka!.
Kwa mujibu wa IMF, wakati vita ya Russia na Ukraine inaanza, Russia ilikuwa nafasi ya 7 kiuchumi na sasa ipo no. 4 pamoja na Propaganda zote ulizowahi kusikia.
Muda mwingine punguzeni mihemuko ya Facebook aisee...
 
Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta


Kumbe ni madai?
 
Yaani sisi wabongo akili zetu zimekuwa za kushikiwa tu. Kumbe hata mimi ninaweza kutunga tukio humu halafu watu wakaliamini na kuanza kutiririka. HII MADA IMEWAFURAHISHA SANA MASHABIKI WA WEST HUMU, NA KICHEKESHO NI KWAMBA MMEAMINI
 
Nyie imbeni nyimbo wee mkichoka kalaleni. North Korea wananchi wamestarehe majumba wanayo ishi ni bora kuliko US chakula wanacho kula wanafunzi shule hata US vijana hawali msosi huo. North Korea laxima ipigwe vita sababu hajakubali Western wale mali zao.
 
Watu wa kwa kiduku wengi wakipata nafasi ya kukimbia hawaichezei, nimewahi kukutana na mmojawapo ila alipokuwa hapa tz alijiita mchina, akiwa China anajiita mkorea kusini, lakini asili yake kwa uhakika ni North Korea,
 
Back
Top Bottom