Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta

Mkorea kaskazini yoyte akifanikiwa kutoka Korea huwa harudi,,hii ipo hadi Kwa mabalozi wao
Warudi tena Jehanamu kwenda kufanya nini?
Nchi ya Korea Kaskazini ni jehanamu kamili ya hapa duniani.
Hapo wanaona kama wametoka kifungoni huko North Korea
They have been fled from the Hostage Camp so called 'Democratic' Republic of North Korea.'
 
Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta

Nimekuwa nikijaribu kufanya rejea nione ni wapi hivi karibuni majeshi ya North Korea yalipigana.

Unaweza kuwa na silaha kali sana lkn usiwe mzoefu na jasiri wa kuzitumia.

Nipeni rekodi ya vita na matokeo ya majeshi haya
 
Kukimbia North Korea ni sawa na kutoroka gerezani
Na imekuwa ni "kosa lenye bahati" kwamba wametorokea eneo lenye usalama 100% kwao kwani wameingia mikononi mwa walinzi makini na waaminifu (Ukraine- dui wa Urussi).
 
Akitoroka familia yake yote inakwenda jela na kazi ngumu na mateso, hata hao askari kama kweli wamefanya uasi ndugu zao kule watakiona cha mtema kuni.
Yule mwamba kiduku sio mtu hafai hata kwa dawa 🤣
 
Akitoroka familia yake yote inakwenda jela na kazi ngumu na mateso, hata hao askari kama kweli wamefanya uasi ndugu zao kule watakiona cha mtema kuni.
Hiyo ni kweli, sidhani kama hao Askari wana familia (mke na watoto)
 
hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa.

hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi.
Ndo shida ya kuwa askari, unaapa kuipigania nchi yako, anakuja mwanasiasa anaitwa raisi, anakwambia kapiganie na nchi ingine kwa maslahi ya nchi yako, bila kujali hivyo vita ni vya kijinga au la usipoenda wewe ni mhaini unanyongwa.
 
Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta

Kule North Korea ni jehannam hao washaibukia ughaibuni kunusuru maisha yao ata russia wapo askari tele hawakusikilia upumbav wa putin kutafuta kuulishwa bure wako ulaya huko wanapiga kuku kwa mrija
 
Back
Top Bottom