gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Jeshi haliko hivyo,yaani kila askari alijue nje ndaniHawa hawarudi korea wala urusi. Kiduku kwisha habari yake. Wanaenda expose korea ya kiduku yaan marakan na watuye wamepata pakuanzia
Sawa mwanzo unatafutwaJeshi haliko hivyo,yaani kila askari alijue nje ndani
Watatimkia Ukraine haohao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa.
hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi.
huenda..!Watatimkia Ukraine hao
Intelligence ya kiduku atawapata tuuInawezekana hapo ndio mwanzo wa mission yao. Huko walikotokomea ndio hasa kilipo kibarua chao.
"... inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta...". Malizia maelezo vizuri; " ili wawauwe... ".Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta
Putin's North Korea Plan Failing? Troops Reportedly Defecting From Positions On Ukraine's Border
Ukrainian officials released a video allegedly showing North Korean soldiers lining up to collect Russian military clothes and bags at an unknown location. However, the authenticity of the video couldn’t verified the footage independently., Europe News - Times Nowwww.timesnownews.com
Sidhani. Hao ni vidagaa sana hawana walijualo kuhusu siri za jeshi au utawala wa Kim.Hawa hawarudi korea wala urusi. Kiduku kwisha habari yake. Wanaenda expose korea ya kiduku yaan marakan na watuye wamepata pakuanzia
Zele hawezi kuwaachia eti wakapewe adhabu ya kunyongwa. Huo ni mtaji kwake.Hawa wakipatikana adhabu yao ni moja tu
Kunyongwa
Kweli kabisa. "Mapank" ameishia kupata sifa za Ku-donate wapiganaji lakini Ukraine amenufaika kwa kuongezewa wapiganaji na kupata Taarifa za Warusi.Na wengi wataenda kujisalimisha mbele ya jeshi la Ukraine ili wapate nafasi ya kukimbia maisha ya kidikteta...nusu ya jeshi hawatarudi tena North Korea
Na Mh. Mapank hajitafakari ni kwa nini.Mkorea kaskazini yoyte akifanikiwa kutoka Korea huwa harudi,,hii ipo hadi Kwa mabalozi wao
Kwani hao hawajaenda na kamanda yeyote?Sidhani. Hao ni vidagaa sana hawana walijualo kuhusu siri za jeshi au utawala wa Kim.