Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa.

hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi.
Nchi za kifashisti hizi, yaani hao wakidakwa wanakufa, tena wanakufa kwa mateso makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…