Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam.

Pongezi kwa Wizara na Serikali.
 
Na posho waongezewe
 
Alafu siku ya uchaguzi watupige virungu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tuna options 3 au 4
1. Kuvumilia virungu na kusamehe
2. Kushtakia kwa Mungu kwa maombi na dua
3.Kujibu mashambulizi..Jino kwa jino
4. Kuwaroga
 
Sababu za kuzuia wasizitumie ilikuwa nini??

Ova
Mkuu

Nakazia swali lako lina mashiko kwa sababu kama ni kukamilika zina zaidi ya miaka minne.

Hata hivyo nyumba zilizopo eneo la Mikocheni zimezukungukwa na 'squatter' upande wa kusini na mbele ni barabara ya Mwai Kibaki wakati magharibi ni maduka ya vipuri na magari hali ya usalama imezingatiwa kwa askari wetu hao kwa kufungiwa kamera za ulinzi na uzio wa umeme juu ya ukuta?

Je, nyumba hizo zinalingana na thamani ya pesa zilizojengewa?
 
Ziko nzuri kwa kweli!
Pics%20pg%201%20Mei%2023.jpg
rugarama-featured.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna options 3 au 4
1. Kuvumilia virungu na kusamehe
2. Kushtakia kwa Mungu kwa maombi na dua
3.Kujibu mashambulizi..Jino kwa jino
4. Kuwaroga
Hapa mkuu itabidi tushtaki kwa Mungu majibu yake huchelewa lakini anajibu kwa mvumo wa radi (9)machi
 
Back
Top Bottom