Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

Sababu za kuzuia wasizitumie ilikuwa nini??

Ova
Sababu za kutokutumika ni mabadiliko ya sera ya serikali iliyozuia wawekezaji kuingia mkataba na majeshi likiwemo la polisi, nyumba zilianza kujengwa na kampuni ya Mara World Limited kabla ya hiyo sera kwa hiyo kulikuwa na matatizo katika mkataba yaliyoleta mkwamo wa zoezi zima la askari kuhamia kwenye hizo nyumba.

Source:👇
 
Back
Top Bottom