Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Na posho waongezeweWaziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam.
Pongezi kwa Wizara na Serikali.
Ndio wataacha uonevu kwa watu wasio na hatia auNa posho waongezewe
SidhaniNdio wataacha uonevu kwa watu wasio na hatia au
AamenKwa kweli,
Itapendeza mkuu
Alafu siku ya uchaguzi watupige virungu😭😭😭😭Na posho waongezewe
Sawa na kubambikiza kesi iwe mwisho!!!Na posho waongezewe
Tuna options 3 au 4Alafu siku ya uchaguzi watupige virungu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wakizingua tunawarogaN
Sawa na kubambikiza kesi iwe mwisho!!!
MkuuSababu za kuzuia wasizitumie ilikuwa nini??
Ova
Hapa mkuu itabidi tushtaki kwa Mungu majibu yake huchelewa lakini anajibu kwa mvumo wa radi (9)machiTuna options 3 au 4
1. Kuvumilia virungu na kusamehe
2. Kushtakia kwa Mungu kwa maombi na dua
3.Kujibu mashambulizi..Jino kwa jino
4. Kuwaroga
Hizi nyumba zimejengwa na kikwete zote mpaka zimekamilika sikujua shida ilikuwa nn mpaka hayati Magu hakutaka kuzifunguaLegacy ya Magufuli hiyo
Utakufa na kijiba cha rohoHizi nyumba zimejengwa na kikwete zote mpaka zimekamilika sikujua shida ilikuwa nn mpaka hayati Magu hakutaka kuzifungua