Askari kujificha

Askari kujificha

GUSEPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
89
Reaction score
28
Nilikuwa nasafiri kwa gari binafsi kama dereva kutoka Chalinze kwenda Tanga,Nilipofika check point ya KABUKU nikazuiliwa na maaskari nikituhumiwa kulipita gari la mbele yangu(overtaking) sehemu isiyoruhusiwa kijiji cha nyuma kama km 45. Nikawauliza maaskari mbona hakuna askari aliyenisimamisha kwenye eneo la tukio na kunihoji juu ya hilo?wakaniambia walikuwepo na wameniona nikivunja hiyo sheria. Baada ya nusu saa ya mabishano makali wakaja maaskari wakiwa na civilian car na kudai wao ndio walioniona wakiwa ndani kwenye hiyo gari yao!nikaandikiwa notification nikalipa nakuendelea na safari yangu.
Swali langu linakuja,je nilitendewa haki kutuhumiwa na baadae kulipishwa faini na askari aliyekuwa amejificha ndani ya gari?sheria inasemaje hapo naomba ufafanuzi
 
Karibu bongo mkuu....
Nadhani kikubwa hapo ni whether umefanya au hukufanya kosa..
Nchi za wenzetu hakuna askari barabarani ila kuna security cameras..
unafanya maasi yako barabarani ukijua hamna anayekuona unaletewa notification tu nyumbani ya kutakiwa kulipa fine au kuenda mahakamani...
askari kukuona ni nyongeza tu....
 
Kosa sikufanya na kibaya zaidi hata hizo alama za kukataza kuovertake hamna. I know kwa Kule mbele wa wenzetu camera zinakuwa on hapa bongo Ndio askari awepo...
 
hao maafande inaonyesha ni akina kalumanzila kazi yao kutabiri tu.
Umesahau wanavyotabiri siku zote kwa kisingizio cha intelijensia? Wamezoea kujifichaficha hata mahali pasipostahili.?
Kama kweli wapo kwa ajili ya kutenda kwa haki ni kwanini wajifiche
 
dreva makini ni yule anayetambua haki na wajibu wake akiwa pamoja kutambua alama na michoro iliyopo barabarani
usimpe lawama askari wetu ww ulifanya kosa hukustahili kusimamishwa na askari ungesimama ww mwenyewe na kukili kosa na kulipa fain
UTII BILA SHURUTI
 
dreva makini ni yule anayetambua haki na wajibu wake akiwa pamoja kutambua alama na michoro iliyopo barabarani

.....Naamini mim ni mmojawapo wa hao madereva makini lakini hapakuwa na alama wala mchoro wa kukataza ku-overtake!

usimpe lawama askari wetu ww ulifanya kosa hukustahili kusimamishwa na askari ungesimama ww mwenyewe na kukili kosa na kulipa fain
UTII BILA SHURUTI
....tatizo ni kulazimishwa kutii hata kwa usichokikosa as far as kasema askari!
 
kutotii sheria ww ndio kunakufanya kujenga mawazo ya kulekebisha sheria zilizowekwa
heshimu mamlaka yaliyowekwa na wanadamu pamoja na yaliyo juu yako
hivi ww mkuu unaonekana unaweza kwenda office ya mtu na kuanza kutoa amri
soma pgo ya jeshi la police mm sion matatizo kuhusiana na hiyo thread ww ndio una matatizo ya kutotii sheria na kutaka kufanya ufanye unachotataka
 
na tutamwamini aliyepewa hayo mamlaka unataka tukuamini ww wakati huna mamlaka hayo
 
Back
Top Bottom