Askari kukamata familia pindi wanapomkosa mhusika

Sdebaseboy

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
778
Reaction score
248
Nikifungu gani cha sheria kinawaruhusu maaskali polis kukamata familia nzima na kuwapeleka rock up pindi wanapomkosa mhusika(mtuhumiwa) wa familia husika..?
 
Hakuna kifungu kama hicho..? Sheria inawataka maaskari wawakamate wahusika wa uhalifu tuu..? Na kisheria kama ni familia nzima walishiriki kwenye kosa basii itakuwa hivo na sio kukamata wasiohusika..!
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wako.
Sasa kama walioshikiliwa sio watuhumiwa je wana haki kisheria kufungua kesi ya madai kwa maaskari waliohusika kwenye tukio hilo..?
 
Ndiyo wanayo haki koz maaskari watakuwa wamefanya unlawfull arrest kinyume na kifungu cha 13 na 12 cha CPA na juu ya hapo wamezuia freedom of movement kwa kuwaweka rumande kinyume na Katiba ya Muungano wa Tanzania kifungu cha 17(a)
 
Nakushukuru sana mkuu kwa kuchukua mda wako ili kunielewesha pale nilipokuwa ninatatizwa kisheria kwani umenipanua wigo wa uelewa wangu uliokuwa unahusiana na baadhi ya sheria za nchi pale zinapokiukwa.
Asante sana.
 
Hata mm nimepata elimu ya kunisaidia kwa huko baadae .asante mkuu kwa ufafanuzi wako mfupi na unaoeleweka
 
Back
Top Bottom