Sdebaseboy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 778
- 248
Nikifungu gani cha sheria kinawaruhusu maaskali polis kukamata familia nzima na kuwapeleka rock up pindi wanapomkosa mhusika(mtuhumiwa) wa familia husika..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kifungu kama hicho..? Sheria inawataka maaskari wawakamate wahusika wa uhalifu tuu..? Na kisheria kama ni familia nzima walishiriki kwenye kosa basii itakuwa hivo na sio kukamata wasiohusika..!
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wako.
Sasa kama walioshikiliwa sio watuhumiwa je wana haki kisheria kufungua kesi ya madai kwa maaskari waliohusika kwenye tukio hilo..?
Ndiyo wanayo haki koz maaskari watakuwa wamefanya unlawfull arrest kinyume na kifungu cha 13 na 12 cha CPA na juu ya hapo wamezuia freedom of movement kwa kuwaweka rumande kinyume na Katiba ya Muungano wa Tanzania kifungu cha 17(a)