Isalia
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,209
- 435
Inatagemea na mbunge wenyewe kabla kuheshimia anza kujeheshimu wewe mwenyewe,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable).
Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena mbele ya umma uliomuamini na uliomchagua?
Je, umuhimu wa hawa watu kwa hayo manne niliyoyataja umeondoka?
Matatizo yetu kama wananchi au askari yatawakilishwaje kunakohusika endapo tutatia vilema wabunge wetu?
Je, hatuna njia mbadala ya kudeal na mbunge mkosefu bila kumpiga au kumtia kilema?
Hili linatutia doa sana mbele ya jamii na dunia.
Mbunge pia anapaswa kujiheshimu sana kuliko mtu yeyote. Hongera KM kwa kutoa kipigo safi amazing kilichonyooka!1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable).
Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena mbele ya umma uliomuamini na uliomchagua?
Je, umuhimu wa hawa watu kwa hayo manne niliyoyataja umeondoka?
Matatizo yetu kama wananchi au askari yatawakilishwaje kunakohusika endapo tutatia vilema wabunge wetu?
Je, hatuna njia mbadala ya kudeal na mbunge mkosefu bila kumpiga au kumtia kilema?
Hili linatutia doa sana mbele ya jamii na dunia.
Mkuu hujanipata, Sijasema wasichukuliwe hatua. Hoja yangu ni aina na muda wa hatua ! Kimsingi, tutumie vyombo vyetu kwa uangalifu zaidi.Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ukichaa kwani walipokuwa ndani wao mbona waliachiwa bila fujo? Kwani kuna yeyote alifanya fujo ndo wakatolewa? Taratibu zilitimia wakaachiwa kwanini wao wasifate taratibu kama sio kutaka watajwe kisa mwaka wa uchaguzi? Na wasipokaa sawa watakuwa vilema kwa sifa za kipuuziUmeandika upuuzi mtupu,kwahiyo kama ustaarabu ungetumika hao wafungwa wangetoroka?Acheni ujinga,hii nchi yetu sote!Matumizi ya nguvu bila sababu kisa tu unadeal na wapinzani ni ukichaa!
Magereza hawana amri ya kumuachia au kumzuia mfungwa kama hakuna sababu ya kufanya hivyo.. Walihisi pale wapo na spika?Walienda torosha wafungwa au walienda pokea MTU wao
Siku zote askari ndio uleta vurugu Kwa kuwanyima haki wengine, kwani wangewapa MTU wao kungetokea shida gani?
Hao watu wanatorokea wapi wakati watu walikuwa wanamsubiri Mwykt nje ya geti? Sielewi hoja yako kiongoziUmepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ufanye upuuzi huku ukijua ili uonewe huruma eti wasiniadhibu sana wataniumiza... Kama hutaki kuumia tii sheria... Acheni sifa kwenye mambo yasiyohitaji sifaSisi waafrica bado uncivilized, unampiga mbunge kisa tu ni wa Upinzani...ili upate sifa kwa boss wako.
Mbunge kufika main gate ya taasisi yoyote si dhambi sababu ni yeye pia kiongizi wa umma, hajafanya fujo yoyote unamshusha kwenye gari yake unaanza kumpa kisago... na hata kama akifanya fujo kuna namna ya kumdhibiti bila kumvunja vunja viungo vyake. Huu ni udhaifu sana kwa si tu jeshi letu la police bali wizara nzima ya mambo ya ndani ya nchi.
Then one day unafikiri eti wewe unayefanya hivi unaweza siku moja kujitegemea - sahau - sababu kujitegemea kunaendana na kukabiliana na changamoto zinazokuzuunguka...
Huwezi kujenga uchumi imara wa taifa lako kama hata mambo madogo madogo kama haya yanakushinda kuya address in a good way.
Wangetorosha wafungwa pale mngewaita makamanda, ila kwakuwa wamepewa walichostahili eti wanaonewa... Tumieni akili hata kidogo tuSisi waafrica bado uncivilized, unampiga mbunge kisa tu ni wa Upinzani...ili upate sifa kwa boss wako.
Mbunge kufika main gate ya taasisi yoyote si dhambi sababu ni yeye pia kiongizi wa umma, hajafanya fujo yoyote unamshusha kwenye gari yake unaanza kumpa kisago... na hata kama akifanya fujo kuna namna ya kumdhibiti bila kumvunja vunja viungo vyake. Huu ni udhaifu sana kwa si tu jeshi letu la police bali wizara nzima ya mambo ya ndani ya nchi.
Then one day unafikiri eti wewe unayefanya hivi unaweza siku moja kujitegemea - sahau - sababu kujitegemea kunaendana na kukabiliana na changamoto zinazokuzuunguka...
Huwezi kujenga uchumi imara wa taifa lako kama hata mambo madogo madogo kama haya yanakushinda kuya address in a good way.
Mkuu nawaza hao Askari angekuwepo na Yule alieinuliwa na Mheshimiwa Rais kule Butimba Ile sura tu hiyo Kombinesheni ingeua kabisa...Naumia Sana waliishia kuvunja tu mkono ilipswa ukatike kabisa...Mbunge pia anapaswa kujiheshimu sana kuliko mtu yeyote. Hongera KM kwa kutoa kipigo safi amazing kilichonyooka!
Ni punguani tu atasafiki kuwa Mdee na Bulaya wameonewa.. Labda hawafahamu vizuri au naye akili zipo kama waoKwa hiyo Mdee na Bulaya walienda kuvunja gereza na wafungwa hatari wangetoroka! Hivyo njia ya kuzuia hill lisitokee ni kuwapiga, vunja mikono na kanyaga vichwani na kifuani?
Mtu akikuambia akili yako imelawitiwa atakuwa kakupa sifa stahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitekenya na kucheka mwenyewe!! Hiyo the Hague mmeanza leo?? Mbona mlienda kupinga hadi urais mliishia wapi?Waliyofanya yepi? Nyie igeni tuu ya huyo mhutu! Mwenzenu kama kushtakiwa ataenda The Hague lakini huyo mkuu wa Gereza Segerea yeye ni hapa hapa siku chache zijazo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshajiuliza walienda kuwachukua Mdee na Bulaya mwanzo walipata shida gani? Tatizo mliwatuma wavuta bangi kwenda kumchukua mwenyekiti,tafutie watu wenye akili mtafanikiwa.Nyani haoni kundule lake..kwa hiyo wabunge na wafuasi wa chadema walienda kutafuta sifa magereza?
Vipi alipoenda Pole pole na msururu wa gari za serikali au yeye aleinda kumtoa Msigwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kaja kwako bila ustaarabu we unautoa wapi ustaarabu katika kuilinda nyumba yako? Nguvu iliyotumika kuvamia ndio inayotakiwa kutumika kujilinda ila bahati mbaya kupima nguvu wakati wa tukio sio rahisi maana kila mmoja anajihami. Tumeni watu wenye akili kuwawakilisha sio hao wasagaji mchele.Umeandika upuuzi mtupu,kwahiyo kama ustaarabu ungetumika hao wafungwa wangetoroka?Acheni ujinga,hii nchi yetu sote!Matumizi ya nguvu bila sababu kisa tu unadeal na wapinzani ni ukichaa!
Walienda Na silaha Na kwann Wawe wao ndio targeted kuvunjwa Na sio wengine uoni ilikuwa planned kutii maagizo hasa baada ya kuwakosa jela wakamalizia hasira zao.Magereza hawana amri ya kumuachia au kumzuia mfungwa kama hakuna sababu ya kufanya hivyo.. Walihisi pale wapo na spika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kaja kwako bila ustaarabu we unautoa wapi ustaarabu katika kuilinda nyumba yako? Nguvu iliyotumika kuvamia ndio inayotakiwa kutumika kujilinda ila bahati mbaya kupima nguvu wakati wa tukio sio rahisi maana kila mmoja anajihami. Tumeni watu wenye akili kuwawakilisha sio hao wasagaji mchele.
macson
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini