Askari kumpiga Mbunge ni sawa na Mgonjwa kumpiga Daktari

Askari kumpiga Mbunge ni sawa na Mgonjwa kumpiga Daktari

Acheni ukichaa kwani walipokuwa ndani wao mbona waliachiwa bila fujo? Kwani kuna yeyote alifanya fujo ndo wakatolewa? Taratibu zilitimia wakaachiwa kwanini wao wasifate taratibu kama sio kutaka watajwe kisa mwaka wa uchaguzi? Na wasipokaa sawa watakuwa vilema kwa sifa za kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maagizo ya jiwe kuwatia vilema?pumbav
 
Mtu kaja kwako bila ustaarabu we unautoa wapi ustaarabu katika kuilinda nyumba yako? Nguvu iliyotumika kuvamia ndio inayotakiwa kutumika kujilinda ila bahati mbaya kupima nguvu wakati wa tukio sio rahisi maana kila mmoja anajihami. Tumeni watu wenye akili kuwawakilisha sio hao wasagaji mchele.

macson
Corona ije tu!
 
Hiko kichwa haviendani na maudhui.
1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable).

Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena mbele ya umma uliomuamini na uliomchagua?

Je, umuhimu wa hawa watu kwa hayo manne niliyoyataja umeondoka?

Matatizo yetu kama wananchi au askari yatawakilishwaje kunakohusika endapo tutatia vilema wabunge wetu?

Je, hatuna njia mbadala ya kudeal na mbunge mkosefu bila kumpiga au kumtia kilema?

Hili linatutia doa sana mbele ya jamii na dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
 
Umepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi kila kitu kujitafatia umaarafu wa kisiasa kujiona wako sawa kwa kila jambo na kingine eti kigezo kupigwa wanawake acha wakubumshwe kidogo walitaka jisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nawaza hao Askari angekuwepo na Yule alieinuliwa na Mheshimiwa Rais kule Butimba Ile sura tu hiyo Kombinesheni ingeua kabisa...Naumia Sana waliishia kuvunja tu mkono ilipswa ukatike kabisa...

Typed Using KIDOLE
Tunasubiri tarehe 4 tukate mikono kabisa. Tunapambana na corona hatutaki ujinga.
 
Back
Top Bottom