Askari kumpiga Mbunge ni sawa na Mgonjwa kumpiga Daktari

So umeshackia laxma dola itumike vixur? Kwa kigezo cha inkambensi adivanteg?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge pia anapaswa kujiheshimu sana kuliko mtu yeyote. Hongera KM kwa kutoa kipigo safi amazing kilichonyooka!
 
Mkuu hujanipata, Sijasema wasichukuliwe hatua. Hoja yangu ni aina na muda wa hatua ! Kimsingi, tutumie vyombo vyetu kwa uangalifu zaidi.
 
Umeandika upuuzi mtupu,kwahiyo kama ustaarabu ungetumika hao wafungwa wangetoroka?Acheni ujinga,hii nchi yetu sote!Matumizi ya nguvu bila sababu kisa tu unadeal na wapinzani ni ukichaa!
Acheni ukichaa kwani walipokuwa ndani wao mbona waliachiwa bila fujo? Kwani kuna yeyote alifanya fujo ndo wakatolewa? Taratibu zilitimia wakaachiwa kwanini wao wasifate taratibu kama sio kutaka watajwe kisa mwaka wa uchaguzi? Na wasipokaa sawa watakuwa vilema kwa sifa za kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
Hao watu wanatorokea wapi wakati watu walikuwa wanamsubiri Mwykt nje ya geti? Sielewi hoja yako kiongozi
 
Ni vema na haki kuwaombea corona iwatafune wakoloni weusi na vibaraka wao. Haya mambo yanaudhi sana kutesa na kuzalilisha binadamu wenzio zama hizi za mwanga!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ufanye upuuzi huku ukijua ili uonewe huruma eti wasiniadhibu sana wataniumiza... Kama hutaki kuumia tii sheria... Acheni sifa kwenye mambo yasiyohitaji sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
Wangetorosha wafungwa pale mngewaita makamanda, ila kwakuwa wamepewa walichostahili eti wanaonewa... Tumieni akili hata kidogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
Mbunge pia anapaswa kujiheshimu sana kuliko mtu yeyote. Hongera KM kwa kutoa kipigo safi amazing kilichonyooka!
Mkuu nawaza hao Askari angekuwepo na Yule alieinuliwa na Mheshimiwa Rais kule Butimba Ile sura tu hiyo Kombinesheni ingeua kabisa...Naumia Sana waliishia kuvunja tu mkono ilipswa ukatike kabisa...

Typed Using KIDOLE
 
Ni punguani tu atasafiki kuwa Mdee na Bulaya wameonewa.. Labda hawafahamu vizuri au naye akili zipo kama wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani haoni kundule lake..kwa hiyo wabunge na wafuasi wa chadema walienda kutafuta sifa magereza?

Vipi alipoenda Pole pole na msururu wa gari za serikali au yeye aleinda kumtoa Msigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshajiuliza walienda kuwachukua Mdee na Bulaya mwanzo walipata shida gani? Tatizo mliwatuma wavuta bangi kwenda kumchukua mwenyekiti,tafutie watu wenye akili mtafanikiwa.

macson
 
Umeandika upuuzi mtupu,kwahiyo kama ustaarabu ungetumika hao wafungwa wangetoroka?Acheni ujinga,hii nchi yetu sote!Matumizi ya nguvu bila sababu kisa tu unadeal na wapinzani ni ukichaa!
Mtu kaja kwako bila ustaarabu we unautoa wapi ustaarabu katika kuilinda nyumba yako? Nguvu iliyotumika kuvamia ndio inayotakiwa kutumika kujilinda ila bahati mbaya kupima nguvu wakati wa tukio sio rahisi maana kila mmoja anajihami. Tumeni watu wenye akili kuwawakilisha sio hao wasagaji mchele.

macson
 
 

Kwanini unapotosha hoja waziwazi nani ametaka kutorosha wafungwa na alifikia hatua gani ya huo utoroshaji watu wamezuiwa kuingia katika compound ya magereza unasema walitaka kutorosha wafungwa. Kiukweli kitendo kilichofanywa na askari magereza ni cha kikatili na uuaji kabisa na mimi nawalaani kwa nguvu zote hao waliohusika na kitendo hicho na ninamuomba Mungu mwingi wa rehema akawalipe sawasawa na mapenzi yake.

Hivi kumvunja mwanamke mkono ambaye hana silaha yoyote nakusema nendeni mkachangiwe na wananchi, kwahiyo askari magereza waliumia saana viongozi wa CDM walipochangiwa na wananchi. Mtu yeyote anayependa amani katika hii nchi ni lazima atalaani kitendo walichofanya askari magereza. Siku zote nilikuwa naamini kuwa hao ni askari wenye weledi lakini kutokana na hicho kitendo wamepoteza sifa kabisa. Nchi hii chombo kinachofanya kazi kwa weledi ni jeshi la wananchi tu hivi vyombo vingine havifai hata kuwepo.
 

Nadhan ujawahi kuwa mfungwa
Hao wafungwa wa hatari kiasi hata maabusu hawawez kuwaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…