Ndio maagizo ya jiwe kuwatia vilema?pumbavAcheni ukichaa kwani walipokuwa ndani wao mbona waliachiwa bila fujo? Kwani kuna yeyote alifanya fujo ndo wakatolewa? Taratibu zilitimia wakaachiwa kwanini wao wasifate taratibu kama sio kutaka watajwe kisa mwaka wa uchaguzi? Na wasipokaa sawa watakuwa vilema kwa sifa za kipuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ije tu!Mtu kaja kwako bila ustaarabu we unautoa wapi ustaarabu katika kuilinda nyumba yako? Nguvu iliyotumika kuvamia ndio inayotakiwa kutumika kujilinda ila bahati mbaya kupima nguvu wakati wa tukio sio rahisi maana kila mmoja anajihami. Tumeni watu wenye akili kuwawakilisha sio hao wasagaji mchele.
macson
1. Mbunge ni Kiongozi.
2. Mbunge ni mwakilishi wa umma
3. Mbunge ni mtunga sheria zinazohusu maisha yetu na ya askari pia.
4. Mbunge ni mtu anayehishimika na anaheshimiwa. Kabla ya kutaja jina lake tunaanza na neno Mheshimiwa (Honarable).
Ni nini kinapelekea hadi Mbunge apigwe kama kibaka tena mbele ya umma uliomuamini na uliomchagua?
Je, umuhimu wa hawa watu kwa hayo manne niliyoyataja umeondoka?
Matatizo yetu kama wananchi au askari yatawakilishwaje kunakohusika endapo tutatia vilema wabunge wetu?
Je, hatuna njia mbadala ya kudeal na mbunge mkosefu bila kumpiga au kumtia kilema?
Hili linatutia doa sana mbele ya jamii na dunia.
Wengi kila kitu kujitafatia umaarafu wa kisiasa kujiona wako sawa kwa kila jambo na kingine eti kigezo kupigwa wanawake acha wakubumshwe kidogo walitaka jisahauUmepotoka mkuu. Mbunge ni binadamu na kama kawaida binadamu wapo vichaa na wenye akili timamu. Ukiona mbunge anakwenda kutafutia sifa magereza ujue huyo ni kichaa na hana akili. Mbunge wako anatafuta popularity Magereza? Unafahamu kuna wafungwa kiasi gani na wamefungwa kwa makosa gani? Hivi unafahamu kuwa kuna watu wakitoroka humo wakawa uraiani kwa wiki moja tu madhara yake ni makubwa kupindukia? Acheni kujipa moyo. Sheria haina mkubwa. Fuateni taratibu na sheria za nchi mtafanikiwa. Mnachofanya cha kuwafurahisha wazungu hakitawasaidia maana watanzania hawatawaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiri tarehe 4 tukate mikono kabisa. Tunapambana na corona hatutaki ujinga.Mkuu nawaza hao Askari angekuwepo na Yule alieinuliwa na Mheshimiwa Rais kule Butimba Ile sura tu hiyo Kombinesheni ingeua kabisa...Naumia Sana waliishia kuvunja tu mkono ilipswa ukatike kabisa...
Typed Using KIDOLE