Askari Monument bado tunayo.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Sanamu ya Askari bado tunayo licha ya ujenzi wa njia ya mwendokasi unaondelea Posta barabara ya Azikiwe



Maamuzi mazuri maendeleo yasifanye tukapoteza utambulisho wa Bongo Dar es salaam wengi wetu tumezaliwa tumeikuta, tumekuwa tukiona toka utotoni na tungependa iendelee kuwepo na kutunzwa.
 

Attachments

  • PXL_20240712_120127565.jpg
    4 MB · Views: 2
  • images.jpeg
    67.1 KB · Views: 2
Ulikuwa umesafiri?
 
Halina maana hilo sanamu. Hao "mashujaa" hawakufa kwa kulipigania Taifa bali mkoloni. Ni sawa na wale magaidi wa kibiti walikufa kwa kupigania harakati zao sio maslahi ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…