johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #21
Atauwa wakati wewe ulitaka kufanya nini hapo gerezani?!Yaani huyu mpumbwavv anataka kusema hata askari magereza akiua mtu yeyote maeneo ya gereza hakuna kosa!!!
Mstaafu naona kamaliza pensheni yake mapema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi linatenda kwa mujibu wa sheria, kanuni, utaratibu na amri.Sio kila mzee ana busara,hata wapumbav huzeeka!
Yaani huyo askari anachosema haijalishi matokeo ni nini,hata kama hao jamaa wangeamua kuwapiga risasi na kuwaua wote waliokuwepo pale,ni sawa tu!
Rudi hapo eneo la gereza ulete upuuzi tena utavijua tu hivo vifungu ukifika mahakamani baada ya virunguToa vifungu vya taratibu, sheria, katiba na vilipovunjwa.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Atauwaje bila kosa bwashee?....... Gerezani siyo kilabuni bwashee!Yaani huyu mpumbwavv anataka kusema hata askari magereza akiua mtu yeyote maeneo ya gereza hakuna kosa!!!
Mstaafu naona kamaliza pensheni yake mapema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.........safi sana!Rudi hapo eneo la gereza ulete upuuzi tena utavijua tu hivo vifungu ukifika mahakamani baada ya virungu
Hujajibu nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza.Rudi hapo eneo la gereza ulete upuuzi tena utavijua tu hivo vifungu ukifika mahakamani baada ya virungu
Hii tabia ya kupenda kukandamizana ni moja ya sababu kubwa hatuendelei.Duh.........safi sana!
Huyo mstaafu ni takatakaHata mimi nimesimuliwa tu bwashee na huyu mstaafu!
IQ yako ndogo, ndio maana mnafanya makosa wenyewe mnabaki kulalamikia vyombo vya dola. Jibu lako lipo hapo soma vizur between the linesHujajibu nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Tanzania ni nchi inayotakiwa kuongozwa kwa kufuata sheria.Wakati mwingine mtambue kuwa si sheria tu zinazoongoza nchi..! Kuna amri, maelekezo si kila jambo hapa nchini limetungiwa sheria.
Katika hili Chadema walichemka jeshini wanatumia zaidi amri si sheria kwenda kubishania gerezani kuliko fanywa na akina Mdee na yaliwapata ni haki yao.
Lakini pia waneshindwa kujitathimini na kuwa na mikakati mipya ya kufanya siasa shindani ndani ya mazingira kinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee huko kwa Trump wanasiasa wanavamiaga tu magerezani?Hii tabia ya kupenda kukandamizana ni moja ya sababu kubwa hatuendelei.
Na mkiendelea kusifia ujinga hivi mtakuwa masikini wajinga daima.
Sent from my typewriter using Tapatalk
IQ ni nini?IQ yako ndogo, ndio maana mnafanya makosa wenyewe mnabaki kulalamikia vyombo vya dola. Jibu lako lipo hapo soma vizur between the lines
Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!
Una point!..tatizo Magereza na Polisi waliruhusu msafara wa Polepole kuingia ndani ya gereza na kumchukua Dr.Mashinji. wakarudia tena walipojaribu kumchukua / kumtorosha Mch.Msigwa.
..siyo busara kuruhusu CCM kufanya jambo fulani, halafu CDM wakifanya jambo hilohilo wanapigwa karibia ya kuuwawa.
..chanzo cha yote haya ni vyombo vya dola / ulinzi na usalama kupendelea waziwazi chama cha mapinduzi.
Hilo halina ubishi kabisaa.Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!