Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Udharimu unaofanywa na Police leo hii haukuanza leo ulikuwepo enzi na enzi .

Yohane mbatizaji akiwa anaendelea na ubatizo pamoja na mahubiri mtoni yordani walikuja watu kadhaa wa kadhaa wakiwemo:-
●Watu(umati)
Luka3:10

Umati wa watu ukamwuliza, “Tufanye nini basi?” 11Akawajibu, “Aliye na nguo mbili amgawie yule asiye na nguo; aliye na chakula afanye vivyo hivyo.”

●Watoza ushuru
12Nao watozaushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, “Mwalimu, tufanye nini?” 13Naye akawaambia, “Msitoze ushuru zaidi ya kima kilichowekwa.”

●Askari.
14Nao askari wakamwuliza, “Na sisi tufanye nini?” Naye akawajibu, “Msichukue vitu vya mtu yeyote kwa nguvu wala kumshtaki yeyote kwa uongo. Toshekeni na mishahara yenu.”

Tukae hapa kwa maaskari wetu hawa tukichambua pointi moja baada ya nyingine kwa aliyo waambia yohane mbatizaji.

☆kwanza waliuliza kwa lengo jema kabisa wakisema "Nasisi nasi tufanye nini?"

●Yohane akawajibu

1=>Msichukue kitu chochote cha mtu yeyote yule kwa nguvu.

=>Leo hii malalamishi ni mengi sana saivi polisi wakija kukukamata kama una vitu vya thamani wanabeba na hutakuja kuvipata. Kwa kifupi wamegeuka kuwa wapolaji au majambazi. Badala ya kulinda raia na mali zao wanawapola mali zao.

Si mnakumbuka kuna police walimuua Mfanyabiashara wa dhahabu kisha kuchukua mali zake zote?

Hao Askari si baadhi yao wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa? Hamkumbuki kweli?

Mnakumbuka Tukio la Hamza na kiini cha Tukio hilo?

Kuna police kituo fulani (sitakitaja ID hii najulikana sana) walienda kukamata mwanafunzi alikuwa anaozeshwa nayo ilikuwa siku ya sherehe watu wanasherekea.

Katika kamata kamata hiyo walikamata wahusika. Wakakamata na vyombo vya mziki yakiwemo ma sipika,power mixer na mazaga mengine wakapakia kwenye gari.

Hivyo vyombo vya mziki baadhi yake waliuza na walio wauzia tunawafahamu japo baada ya kufutilia walidai hawakuvichukua bali wao walichukua spika na mic tu!

Mbaya zaidi kwenye sherehe hiyi kulikuwa na msanii wa kisukuma pale akisherehesha si wakachukua mazaga yake naye hakuyapata vilevile!

2:- Msimshitaki mtu yeyote kwa uongo.

=>Picha linaanza Tundu Lissu anakamatwa kisha anashitakiwa kwa UHAINI. Kesi inaendelea mashahidi wakibwabwaja bila pointi yoyote ...ukumbuke mashahidi wenyewe ni Askari haohao.

=>Wakina Chavala na Nifer na wenzao wengi wanapewa kesi ya uhaini mara wengine wanabadilishiwa kesi juu kwa juu.

=>Ukumbuke kuna watu kibao polisi huwabambikia kesi za mchongo idadi yao ni wengi kama mchanga wa bahari (hawahesabiki)

3:-Mtosheke na mishahara yenu!.

=Nakoswa hata lugha ya kueleze hili maana police na rushwa ni sawa na samaki na maji ama kidole na pate au tuseme Tako na chupi.

Huwatenganishi kwa namna yeyote ile wao Kila kosa kwao ni dili la kupiga hela.

Imagine mmevamiwa Bibi /mam yenu kakatwa mapanga na kufa lakini police wanakuja kuwachukueni hapo nyumbani mkiwa katika katika ya maumivu na majonzi mazito wanawapeleka kituoni kwa kigezo cha mahojiano..

Nakwambia hutoki huko bila kuwahonga na ukikaza kesi inakugeukia na kuwa muuwaji!

=>Kufiwa umefiwa na hongo unaombwa ukikataa basi wanakupa uuji kabisa.

Kisa kingine kuna jamaa mtoto wake alitumbukia kwenye maji (bwawa)

Police walipokuja wakambeba mpesempese hadi kituoni wakampiga biting za hapa na pale kisha wakaomba rushwa ya Tsh 800k.
Hivyo ndivyo yohane aliwaonya wasifanye.

Kwa hayo machache Nitazidi kuamini kila kukichwa kuwa police ni kazi ya Laana hasa ukiwa Tz heri uwe mchawi kuliko kuwa police.

FB_IMG_1760300588604.jpg
 
View attachment 3519641
Polisi ******* sana, walishaga wahi kunikamata pale Usa-River saa 4 za usiku nashuka kwenye bus natoka zangu Moshi eti ni mzululaji, kufika kituoni wanataka pesa, utazani walikuwa wamewekeza kwangu.
Bora hata ya mavi, maana utaweka hata shambani shamba lipate lutuba kuliko polisi
 
yohana aliwaonya polisi,ila ajabu ni mtu kudhani yeye anawezafanya haya sababu sio polisi.

ukisoma kwa muktadha mkuu wa katazo hilo hapa anazungumzia,kutotumia nafasi uliyo nayo kuumiza wengine au kudhurumu haki za wengine.

wewe sio polisi ila ni boss unanyanyasa wafanyakazi hilo katazo linakuhusu.

wewe ni baba/mama unanyanyasa dada wa kazi hili linakuhusu.

wewe ni boss,kutwa kuibia kampuni/taasisi licha ya kukulipa vizuri, hii inakuhusu.
 
Back
Top Bottom