Askari Polisi aliyevuma sana miaka 90. RIP Mkama Sharp

RIP.Namkumbuka sana kwa kutupangisha foleni ili tupande daladal wakati tukiwa wanafunzi pale msimbazi
 
Huyo jamaa kasaidia sana wanafunzi mjini. Hasa s/uhuru.
 
Daah..rip mkama sharp..yaani umenikumbusha fatic za kuingia mpirani pale karume na waruka ukuta...mkama alikuwa anaweza kudhibiti foleni za milango yote miwili ya mbele kisha anabastola mbili kushoto na kulia alafu anatembea kibabe sana daah kweli wakati ukuta
 
Mkama Sharp umenikumbusha mbali hasa shamba la bibi ikiwa inacheza Yanga na Sigara ya akina Marehemu Joseph Katuba (RIP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…