Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waharifu walikuwa wanamuogopa sana jamaa.Aaaah akina Mkama wengi wao ni watu Sharp Sana
R I P Brother
Kashafariki kitambo mkuupicha yake ya saa ivi ipo wap
Sana mkuuRIP.Namkumbuka sana kwa kutupangisha foleni ili tupande daladal wakati tukiwa wanafunzi pale msimbazi
Vibaka ndio walikuwa wanamuogopa.Waharifu walikuwa wanamuogopa sana jamaa.
duuAlikua jambazi afu polisi walimchukua ili awape siri za majambazi miaka iyo ya 80 mwishoni
Duuuh noma mkuuAlikua jambazi afu polisi walimchukua ili awape siri za majambazi miaka iyo ya 80 mwishoni
Kumbe we kibibi eeh?Namkumbuka enzi hizo niko form 1 Zanaki S S miaka ya 1990+
Tukifika stand pale Msimbazi tukimkuta Afande Mkama kwakweli watoto tulikua tukifarijika mnoo.
Sana tu na sina shida ya kibabu maana nnacho tayari [emoji4]Kumbe we kibibi eeh?
Mkama Sharp umenikumbusha mbali hasa shamba la bibi ikiwa inacheza Yanga na Sigara ya akina Marehemu Joseph Katuba (RIP)Daah..rip mkama sharp..yaani umenikumbusha fatic za kuingia mpirani pale karume na waruka ukuta...mkama alikuwa anaweza kudhibiti foleni za milango yote miwili ya mbele kisha anabastola mbili kushoto na kulia alafu anatembea kibabe sana daah kweli wakati ukuta