GE2025 Askari Polisi kutoka nchi nzima wako Mwanza kuimarisha ulinzi wa siku ya kufunga kampeni za mgombea wa Urais kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Huyu mama yenu sijui ana hofu ya nini?

Yani kuna police wametumwa Mwanza kwenda kuongeza nguvu kwenye siku ya tamati ya kampeni za mgombea urais wa CCM.

Kama sio kuchezea pesa za umma ni nini hiki yani umsafirishe police kutoka mtwara hadi mwanza kwa ajili ya ulinzi wa siku moja tu,ana hofu gani mpaka awe na ulinzi mkubwa kiasi hicho huyo mama yenu?
 
Wale waliostaafu mwaka jana wengi wameitwa kazini. Kuna trafiki maarufu sana clouds walimpaga tuzo alikiwa vehicle inspector anavuta foleni sana njia ya.chini alikuwa amestaafu ameitwa kama reinforcement.
 
Huyu mama yenu sijui ana hofu ya nini?

Yani kuna police wametumwa Mwanza kwenda kuongeza nguvu kwenye siku ya tamati ya kampeni za mgombea urais wa CCM.

Kama sio kuchezea pesa za umma ni nini hiki yani umsafirishe police kutoka mtwara hadi mwanza kwa ajili ya ulinzi wa siku moja tu,ana hofu gani mpaka awe na ulinzi mkubwa kiasi hicho huyo mama yenu?
Bibi yupo sehem mbalimbali! Jana niliona yupo ikulu ndogo, unguja akiongea na wajumbe wa burundi 🤣

Leo yupo mwanza kwenye kufunga kampeni za Ccm, usiku atakua Mbeya kwa tulia Mwansasu
 
Mwee kumbee!! Ndio maana jam kama yote maaskari kila mtaa mwee🙌🏾
 
Back
Top Bottom