GE2025 Askari Polisi kutoka nchi nzima wako Mwanza kuimarisha ulinzi wa siku ya kufunga kampeni za mgombea wa Urais kupitia CCM

GE2025 Askari Polisi kutoka nchi nzima wako Mwanza kuimarisha ulinzi wa siku ya kufunga kampeni za mgombea wa Urais kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Attachments

  • 9F2E3B64-CF40-4B38-8AD0-6646ECDE6C2D.jpeg
    9F2E3B64-CF40-4B38-8AD0-6646ECDE6C2D.jpeg
    63.7 KB · Views: 22
Wanaogopa nini kanda ya ziwa au mzimu wa Magufuli unawandama Juzi si alikua uko pia anatokea Biteko alitosha kufungia kampeni mwanza yeye Dar Gwajima anatokea uko pia Makonda na Biteko walitosha kanda ya ziwa
 
Sasa kama mpaka unakamata wanajeshi kwa kosa la kuchana picha lazima uwe na wasi wasi
 
Kama mpina angshiriki uchaguz huu angepata kura za hasira za kina ngosha jamaa wana hasira na jembe lao
 
Raia zimeanza kushushwa viwanjani kutoka vijijini na malori mweee😂😂😂
 
Hawa watakuwa hawana taarifa ya mambo yanayoendelea aisee😂
 
Lori la 3 linashusha watu aiseeew na masufuria ya kupikia ni kambi naona kwani kuna sherehe au😳
 
We unaona utumbo uliouandika unawezekana?
 
Siyo askari wote. Maana Leo Kwa Mama John nimewaona wengi Tena wale wa kufaa mabakamabaka na wale wa rangi moja!
 
Back
Top Bottom