Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ngoja tuone .Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee?
Mmebakia kukosoa tu wasukuma. Mbona kauli za dikteta magufuli mlikuwa hamzikosoi,,mlikuwa mnajifanya"ooh, watu wamemnukuu vibaya Rais"**Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?
Awe makini na hizi kauli zake, zitashusha ari ya kazi kwa hawa waliopo, vyema serikali yake itoe msaada unaohitajika mengine amuachie IGP ayamalize.
Sio Afande Muroto Kweli, mzee wa kipigo Cha Mbwa Koko, Mzee was unapigwa Hadi uchakae
Yes, Ameshakaa Mwanza akiwa OCS akaja Dar na ameshakua RPC temeke ndio akaenda Dodoma Kama sijakoseaAmewahi kuwa DSM?
Temeke ni OCD kipolisi.Yes, Ameshakaa Mwanza akiwa OCS akaja Dar na ameshakua RPC temeke ndio akaenda Dodoma Kama sijakosea
Mnajitahidi sana kumkwamisha Mama SSH na chokochoko zenu lakini hamtoweza kamwe.Mmebaki tu kulaumu hata pasipo na sababu.Tulieni dawa iwaingie..mwendazake ameshalala milele.Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6