Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Nchi inaelekea halijojo tangu jpm aondoke kila kitu kinakufa ,huyu anategemeq mtu mmoja akomeshe ujambawazi kwa eneo lenye watu zaid ya million 6
Mkuu, Mataga wenzako wa humu wameshaanza kumuunga mkono mama.

Wewe utaanza kuunga mkono lini?

Yaani inashangaza eti leo USSR ni mpinzani wa serikali ya CCM.
Maisha yako kasi sana.
 
Mmebakia kukosoa tu wasukuma. Mbona kauli za dikteta magufuli mlikuwa hamzikosoa,,mlikuwa mnajifanya watu wamemnukuu vibaya Rais"**
Kwani Jiwe aliposema, "..Eti mtu anakuja na wapambe kituo cha Polisi na mwinhine anakuja na kwaya! Hivi CDF wanweza kuja jeshini hivyo..? Niambie nani tena nchi hii alijaribu kufanya upuuzi huo?
 
Rais anataka kusema dawa ya ujambazi Dsm anayo huyo askari mmoja pekee? kwani yeye mafunzo yake aliyapatia wapi tofauti na hawa wengine?
Labda ana kipaji
 
Sawa, kalifufueni jiwe lenu, maana linachezea marungu ya utosi uko pahala mbalii
Na ataendelea kuwatesa hadi kizazi chenu cha kumi! JPM was one of the rare African Leaders species born in our time ndio maana pamoja na kwamba aliishafariki, JF HAIWEZI kukaa bila threads zake na ikabaki salama! That's Legacy fella!!!!
 
Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule askari aliyehamishwa ambaye ni mahiri kwenye kukomesha majambazi arejeshwe .

Ni askari yupi huyo aliyehamishwa na sasa anatakiwa kurejeshwa ili kudhibiti ujambazi? Ni nani alimhamisha na kwa sababu zipi?
Mama sasa anataka kuniweka wakati mgumu mimi na familia yangu. Asingenitaja. Nimelisha shaba majambazi kadhaa. Am fakin scared.
 
Back
Top Bottom