Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
Ujinga ujinga na upumbavu alikuwa nao marehemu meko na mama yako pamoja na mumeo.So unapokuwa na ujinga ujinga. Uwe unakumbuka Kuna mazuri mengi sana ambayo watu wasio na upumbavu kama wewe wameyashuhudia kwa faida ya nchi. Hali ilikuwa mbaya sana.
WamburaWote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule askari aliyehamishwa ambaye ni mahiri kwenye kukomesha majambazi arejeshwe .
Ni askari yupi huyo aliyehamishwa na sasa anatakiwa kurejeshwa ili kudhibiti ujambazi? Ni nani alimhamisha na kwa sababu zipi?
Kwani kuna mkoa, ambao uhalifui, hakuna kabisa?hapa tunaangalia mtu kama mtu, mambo sasa , siasa nyingi sana, na mwenzake murotoMwanza pia kwa muliro hali sio shwari, nadhani kuna mlipuko wa wizi, ujambazi na ubakaji nchi nzima sio dar pekee.
Uongozi imara unaonekana unapokuwa haupo kwamba mifumo uliyoijenga inafanya kazi bila uwepo wako. Ikitokea mambo yanaharibika unapoondoka ni mbaya za wewe kushindwa kiuongozi.Her comment shows extremely weakness from the top leader!
Inawezekana ulikuwa sahihi, katolewa.Mimi naona hapo anataka tu IGP amtoe Mambosasa na kumleta mtu mwingine
Mambosasa apelekwe wapi ?Wampeleke ACP Wankyo (Pwani); ACP Shabu (Shy); hao hata ujifiche kuzimu watakutoa tu
Dah watu mlikua mnamjua huyu afande. Haya tupe intro kidogo kuhusu huyu Wambura.Camilius Wambura
JF ni hatari kuliko unavyodhaniDah watu mlikua mnamjua huyu afande. Haya tupe intro kidogo kuhusu huyu Wambura.
Alipaswa kuwa DCI naona wamempiga kona kali
Muliro Jumanne aliyekuwa kamanda wa polisi kinondoni, akahamishiwa Mwanza kiaina na hatimaye karudi Dar kama kamanda mkuu.Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule askari aliyehamishwa ambaye ni mahiri kwenye kukomesha majambazi arejeshwe .
Ni askari yupi huyo aliyehamishwa na sasa anatakiwa kurejeshwa ili kudhibiti ujambazi? Ni nani alimhamisha na kwa sababu zipi?
Mimi naona hapo anataka tu IGP amtoe Mambosasa na kumleta mtu mwingine
Thubutu !Kingai