Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

So unapokuwa na ujinga ujinga. Uwe unakumbuka Kuna mazuri mengi sana ambayo watu wasio na upumbavu kama wewe wameyashuhudia kwa faida ya nchi. Hali ilikuwa mbaya sana.
Ujinga ujinga na upumbavu alikuwa nao marehemu meko na mama yako pamoja na mumeo.
Sasa hivi meko amekufa amekuachia huo ujinga wewe, mumeo na mama yako
 
Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule askari aliyehamishwa ambaye ni mahiri kwenye kukomesha majambazi arejeshwe .

Ni askari yupi huyo aliyehamishwa na sasa anatakiwa kurejeshwa ili kudhibiti ujambazi? Ni nani alimhamisha na kwa sababu zipi?
Wambura
 
Mwanza pia kwa muliro hali sio shwari, nadhani kuna mlipuko wa wizi, ujambazi na ubakaji nchi nzima sio dar pekee.
Kwani kuna mkoa, ambao uhalifui, hakuna kabisa?hapa tunaangalia mtu kama mtu, mambo sasa , siasa nyingi sana, na mwenzake muroto
 
Her comment shows extremely weakness from the top leader!
Uongozi imara unaonekana unapokuwa haupo kwamba mifumo uliyoijenga inafanya kazi bila uwepo wako. Ikitokea mambo yanaharibika unapoondoka ni mbaya za wewe kushindwa kiuongozi.
 
Wampeleke ACP Wankyo (Pwani); ACP Shabu (Shy); hao hata ujifiche kuzimu watakutoa tu
 
Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule askari aliyehamishwa ambaye ni mahiri kwenye kukomesha majambazi arejeshwe .

Ni askari yupi huyo aliyehamishwa na sasa anatakiwa kurejeshwa ili kudhibiti ujambazi? Ni nani alimhamisha na kwa sababu zipi?
Muliro Jumanne aliyekuwa kamanda wa polisi kinondoni, akahamishiwa Mwanza kiaina na hatimaye karudi Dar kama kamanda mkuu.

nafikiri code ishafunguliwa
 
Anaweza kudhibiti ujambazi huku akiwa na urafiki na baadhi ya majambazi wa Dar.
 
Back
Top Bottom