Askari Polisi wa kituo cha Oysterbay mbaroni kwa ujambazi

Askari Polisi wa kituo cha Oysterbay mbaroni kwa ujambazi

itafika kipindi wananchi watachoka. kwani siku hizi mamo yamebadilika, kila kukicha utasikia polsi kakamtwa na Bangi, meno ya tembo, madawa ya kulevya, mara majambazi na vitendo vyote viovu. sasa nani tumwamini?
 
atakuwa na akili kama yule alipiga picha na lema kule arusha tukampiga mnvua za ukwel jela. ukiwa chadema na akili zako zinavia

Hiki ulichokiandika kinaweza kuwa na maana yeyote katika thread hii au umejivua ufahamu na kuuacha ubongo wako naked.
 
Kama kova kamanda wa ukweli kwa nini asimuonyoshe kama yule afisa usalama feki au yule trafiki feki tumuone inawezekana kawaliza wengi
 
Hii ndo bongo bwanaa,tushazoea kwani hata wale walioiba mabilion pale kariakoo ni hao hao askar wa pinda.Na hiyo ruhusa ya pinda,ukikataa kutoa chapaa utakiona kilicho mtoa kanga manyoya.
 
Tanzania imekwisha.viongozi wetu.ambao tuliwachagua kwa lengo moja, watuongoze,wametugeuka,wanatukandamiza,hakuna hatammoja anae simama kumtetea mwananchi wa hali ya chini.wamekuwa mafisadi,wabinafsi,wanajimbikizia mali, wanaingizamadawa ya kulevya,huyo anaekataa wasitajwe nayeye anahusika,ndio maana kapiga mkwara.polisi nao kumbe ni majambazi,na viongozi wanaangaliatu.waziri mwenye dhamana ya ulinzi, kalala.usingizi wala hajui kinachoendelea.
 
mkiacha mali zenu holela na sisi tumeshasema mziweke sehemu ambozo polisi wetu majambazi hawataziona, na ikatokea wakaziona wataiba tu, maana hakuna jinsi...,eheeeee lazima tukubaliane kuwa tutazilinda mali zetu wenyewe,,,,,. kwa hiyo mimi nasema wakizikuta na waibe tu na narudia tena waibe tu,...! maaana tumeshachoka sasa:disapointed:
 
wazeewa kitu chnye incha kali.....mshahara mdogo ss si muongee na serikali!!?
Watu wakigoma kwaajili ya mishahara mnaambiwa mkawapige,na nyie mnapiga tuuuu!....mkuki kwa nguruwe.....ss Kwnn mnatuibia jamani!!
 
Kamishina Suleimani Kova
Jeshi la polisi kanda maalum Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa tisa na bunduki mbili ambazo zilikutwa katika matukio tofauti ya ujambazi jijini humo.



Mkuu wa kanda hiyo kamishina Suleimani Kova amesema kuwa miongoni mwa watuhumiwa hao watu wawili ni raia wa nchi za Congo DRC na Uganda.



Katika hatua nyingine jeshi hilo linamshikilia askari wa kituo cha Oysterbay ambaye yuko likizo kwa tuhuma za kutaka kuwaokoa wahalifu baada kukamatwa na raia wema eneo la Ilala jijini Dar es Salaam.



Kamishina Kova amesema askari huyo alihusika katika tukio la wizi wa dola elfu thelathini za marekani ambapo watuhumiwa baada ya kuwekwa chini ya ulinzi alitaka kuwachukua kwa lengo la kuwatorosha badala ya kuwapeleka kituo cha polisi.



Aidha baadhi ya watuhumiwa hao walikutwa na sare za jeshi la wananchi JWTZ,sare za polisi,risasi pingu na funguo zake vitu ambavyo vinadaiwa kutumika kuwalaghai na kuwatisha wananchi wakati wakifanya matukio ya uhalifu.
Hapo kwenye red hapo ndi pananipa shida zaidi


 
Back
Top Bottom